Viongozi wakuu wa nchi wamesusia kuja kumuaga Mkapa?

Viongozi wakuu wa nchi wamesusia kuja kumuaga Mkapa?

Taifa la TANZANIA ndio masterminds ya mataifa yote ya East Africa na NCHI zinazopakana naxo pia na baadhi ya mataifa ya kusini mwa Africa sema kuna miaka tulijisahau hawa tegemezi wakaanza kujitafutia sasa wamepata hela ya kula wameanza kiburi Ila kwa habari njema tuu na nikutoe wasiwasi miaka si mingi Taifa la TANZANIA linarudi kwenye nafasi yake kikubwa tuongeze ubunifu na juhudi katika kazi zetu saiz ukienda Namanga Sirali Tarakea Loitok-tok na Horohoro utashuhudia mengi makubwa
Sasa wakianza kiburi sisi tunamalizia kabisa
 
Rais wa Burundi hawezi kuja. Unakumbuka mara ya mwisho Nkurunzinza kuja hapa alitaka kupinduliwa. Baada ya hapo hakutoka nje ya Burundi tena.

Ambao wanashangaza ni hawa wa SADC na EAC. Lakini pia haishangazi. katika diplomacy kuna kitu tunaita "reciprocity". Mathalani, nchi ikiwawekea raia yako malipo ya visa kwenda nchi hiyo, na wewe unafanya hivyo hivyo kwa raia wa nchi hiyo wanapokuja nchini mwako. Walichofanya SADC/EAC ni reciprocation. Kama unasoma habari, utakuwa umesikia kuwa Marekani wamefunga Ubalozi Mdogo wa China huko Huston. Baada ya hilo, China nao wakafanya hivyo kwa Ubalozi mdogo wa marekani huko Uchina.
Aarh hio noma hopefully mambo ya Corona ndio yamefanya wasije lkn ikiwa ni mambo ya mzee baba hawatembelei na wao wakalipa kisasi then kidiplomasia kuna cha kurekebisha hapo.

Nilitegemea rais wa Burundi aje maana kule kwao mambo ya Corona nao 'yameshaisha'kama bongo ila nilivyoona nae katuma mwakilishi nikaona hii inafikirisha kidogo.
 
Kwa wajinga kama nyie mnafikiri ni sifa kwake!

Kenyata kasema hivyo kutokana na malalamiko ya raia wake, wana njaa vibaya sana, huku wao wakiendelea kukumbatia corona kwa kigezo cha democrasia?

Nenda pale kenya uone raia walivyochoka kutokana na huo ujinga wa hiyo democrasia anayisema Uhuru!

Kwanza nani anaficha? Hivi hapa tz hatujuani mpaka useme wafu wanaficha? Kifo unawezaje kuficha?
Jana yenyewe anasema kuwafungia watu ni tabu tupu maana wananchi wanapata shida, chakushangaza yeye anapiga kilaji tu kuna siku kaenda kuzurura mtaani bila hata nepi mdomoni
 
Rais wa Burundi hawezi kuja. Unakumbuka mara ya mwisho Nkurunzinza kuja hapa alitaka kupinduliwa. Baada ya hapo hakutoka nje ya Burundi tena.

Ambao wanashangaza ni hawa wa SADC na EAC. Lakini pia haishangazi. katika diplomacy kuna kitu tunaita "reciprocity". Mathalani, nchi ikiwawekea raia yako malipo ya visa kwenda nchi hiyo, na wewe unafanya hivyo hivyo kwa raia wa nchi hiyo wanapokuja nchini mwako. Walichofanya SADC/EAC ni reciprocation. Kama unasoma habari, utakuwa umesikia kuwa Marekani wamefunga Ubalozi Mdogo wa China huko Huston . Baada ya hilo, China nao wakafanya hivyo kwa Ubalozi mdogo huko Uchina.
Umesomeka kiongozi
 
Maana naona ni kama Waziri Mkuu wa Burundi peke yake ndio amekuja na baadhi ya Mabalozi, ina maana ni kwa sababu ya Korona au hawakuona umuhimu wa kuja? Au ndio watasingizia KORONA?

Yaani hata majirani
Museveni
Kenyatta
Kagame, nao wamegoma?

Nakumbuka alipokufa Moi Mkapa na JK walienda, so wao wametususa au.

Huu ni upuuzi kuanzia sasa kila nchi ipambane na changamoto zake yenyewe, hata wakiuana tusipeleke majeshi yetu kwao.

View attachment 1519387

Kwaheri mzee Baba, Watanzania tunatosha.
Corona
 
Back
Top Bottom