Viongozi wakuu wa nchi wamesusia kuja kumuaga Mkapa?

Viongozi wakuu wa nchi wamesusia kuja kumuaga Mkapa?

....... Ana ushawishi au Hana ushawishi? Ulitaka kusema nini labda ??? ....awakwenda,..... Akwenda!!!! Nini hii?
Hapo nilizidisha awakwenda hakina mseveni, kenyatta, kagame, magufuli,

Akwenda magufuli kawatuma wawakilishi wake
Hana + Ana =ukiunganisha sentence hana + Ana ushawishi ni sentence moja unaeleweka mkuu

Anna +ni jina la binadamu
 
Hivi ni kwa nini hata barabarani unakopita mwili hakuna raia wamejipanga kupunga mikono? Ni wachache sana kwa kiongozi Mkuu wa nchi aliyepita. Au hawakuhamasisha?
 
Ni sawa ila uwepo wao ulikuwa muhimu sana

ni kama mtu anakuchangia harusi halafu haji. mwisho sherehe inakuwa boring
Kama ni sawa yawezekana wakaonekana Lupaso.
Kuhusu mchango wa harusi anayechanga alafu haji maana yake amekuheshimu kuliko kuonekana akatumia karibu mchango wake na kuacha maharusi hoe hahe.
 
Kenyetta jana alisema nchi yake ina fuata demokrasia na haiwezi kuacha kutangaza hali ya korona nchini kwake kwa kuzuia vyombo vya habari kutangaza. Sasa hilo jiwe unadhani lilitupwa wapi?
Tuna jiaibisha kwa vitu vidogo sana..
Imemsaidia nini, naye sasa kasema hataki kuwafungia watu ndani maana hakuna anachokifanya zaidi ya kuwatesa wananchi na maambukizi yanaongezeka kila kukicha.
 
Ni sawa ila uwepo wao ulikuwa muhimu sana

ni kama mtu anakuchangia harusi halafu haji. mwisho sherehe inakuwa boring

Wewe kijana achana na uswahili utakuja kufa maskini bure.

Unatumia vigezo vya Buza kwenye masuala ya kimataifa. Umeulizwa lini Magufuli kaenda kuzika unakomaa katuma watu wazito.

Haya sasa Kenya, Uganda, Burundi, Rwanda zimtume rais gani mstaafu. Bado kuna corona wenzetu kina Zambia na wengine wanadai ipo sisi tunadai hakuna hivyo hatupangiani.

Yani unalilia mazishi kama watu wasiosoma.
 
Kama ni sawa yawezekana wakaonekana Lupaso.
Kuhusu mchango wa harusi anayechanga alafu haji maana yake amekuheshimu kuliko kuonekana akatumia karibu mchango wake na kuacha maharusi hoe hahe.
Sasa wote wasipokuja harusi si inadoda??

Ona sasa Kaja mmoja tu kutoka Burundi
 
Baba mwenye nyumba hakutembelei halafu wewe umtembelee kwa sababu mwanae huwa anakuja nyumbani kwako? Halafu wewe ungekuwa mzee kama Museveni ungetembelea nchi ambayo takwimu zake za corona hazijulikani?
Maana naona ni kama Waziri Mkuu wa Burundi peke yake ndio amekuja na baadhi ya Mabalozi, ina maana ni kwa sababu ya Korona au hawakuona umuhimu wa kuja? Au ndio watasingizia KORONA?

Yaani hata majirani
Museveni
Kenyatta
Kagame, nao wamegoma?

Nakumbuka alipokufa Moi Mkapa na JK walienda, so wao wametususa au.

Huu ni upuuzi kuanzia sasa kila nchi ipambane na changamoto zake yenyewe, hata wakiuana tusipeleke majeshi yetu kwao.

View attachment 1519387

Kwaheri mzee Baba, Watanzania tunatosha.
 
Wewe kijana achana na uswahili utakuja kufa maskini bure.
Unatumia vigezo vya Buza kwenye masuala ya kimataifa. Umeulizwa lini Magufuli kaenda kuzika unakomaa katuma watu wazito. Haya sasa Kenya, Uganda, Burundi, Rwanda zimtume rais gani mstaafu. Bado kuna corona wenzetu kina Zambia na wengine wanadai ipo sisi tunadai hakuna hivyo hatupangiani.

Yani unalilia mazishi kama watu wasiosoma.
Sawa msomi mimi nipo kwenye Socialization, Korona ni kisingizio kidogo sana. any way hayo ni mawazo yako
 
Kama ni sawa yawezekana wakaonekana Lupaso.
Kuhusu mchango wa harusi anayechanga alafu haji maana yake amekuheshimu kuliko kuonekana akatumia karibu mchango wake na kuacha maharusi hoe hahe.
Kufana kwa harusi ni watu mkuu, andaa hapo mapocho pocho watu wasije unajisikiaje!
 
Kenyatta: Kenya isilinganishwe na nchi zinazoficha takwimu za Corona ambazo pia hazina uhuru wa habari na demokrasia. Yani Tanzania iliyokuwa ya mfano inapigwa madongo na Kenya.

Kenyatta hawezi kuja kwenye nchi ya hivyo.
Takwimu?
Kwani Kenya wana takwimu za corona?
au zile za kisanii wanazotangaza?
 
Back
Top Bottom