Viongozi wakuu wa nchi wamesusia kuja kumuaga Mkapa?

Viongozi wakuu wa nchi wamesusia kuja kumuaga Mkapa?

Kenyatta: Kenya isilinganishwe na nchi zinazoficha takwimu za Corona ambazo pia hazina uhuru wa habari na demokrasia. Yani Tanzania iliyokuwa ya mfano inapigwa madongo na Kenya.

Kenyatta hawezi kuja kwenye nchi ya hivyo.
Acha tule Maisha bana. Bila uongozi wa JPM huyo Lisu wenu angekuja lini?
 
Kenyetta jana alisema nchi yake ina fuata demokrasia na haiwezi kuacha kutangaza hali ya korona nchini kwake kwa kuzuia vyombo vya habari kutangaza. Sasa hilo jiwe unadhani lilitupwa wapi?
Tuna jiaibisha kwa vitu vidogo sana..
Kukumbatia ugonjwa kumbe nayo ni demmokrasia
 
Huko dio kabsaaaaa

kama wameshindwa Dar Lupaso si ndio balaa
Kwani kuna tofauti gani kati ya Dar na Lupaso?
Hata hivyo wametoa heshima pakubwa kwa kuombeleza msiba huu mkubwa kwa bendera za nchi zao kupepea nusu mlingoti kwa siku Tatu.
 
Kwani kuna tofauti gani kati ya Dar na Lupaso?
Hata hivyo wametoa heshima pakubwa kwa kuombeleza msiba huu mkubwa kwa bendera za nchi zao kupepea nusu mlingoti kwa siku Tatu.
Ni sawa ila uwepo wao ulikuwa muhimu sana

ni kama mtu anakuchangia harusi halafu haji. mwisho sherehe inakuwa boring
 
Ila hata nchi nyingine za Afrika tulizoshiriki kuzikomboa? Labda Corona imezuia. Hivi kule kwa Burundi hakuna Marais wa Africa walihudhuria? Anyway tumeshafiwa na our Hero tunaoumia ni sisi.
 
Back
Top Bottom