Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Wewe ni mtoto wa mwsho ?Maana naona ni kama Waziri Mkuu wa Burundi peke yake ndio amekuja na baadhi ya Mabalozi, ina maana ni kwa sababu ya Korona au hawakuona umuhimu wa kuja? Au ndio watasingizia KORONA?
Yaani hata majirani
Museveni
Kenyatta
Kagame, nao wamegoma?
Nakumbuka alipokufa Moi Mkapa na JK walienda, so wao wametususa au.
Huu ni upuuzi kuanzia sasa kila nchi ipambane na changamoto zake yenyewe, hata wakiuana tusipeleke majeshi yetu kwao.
View attachment 1519387
Kwaheri mzee Baba, Watanzania tunatosha.
Kama sio , mbona unapenda sana kudeka deka na kupetiwa petiwa