Viongozi walewale waliopongeza machinga kupewa Uhuru ni haohao Wana bomoabomoa,Je, tutamkumbuka?

Umkumbuke ww na nani ?! Mimi hasirani simkumbi hata sekunde
 
TAGA nakuulliza gharama ya kuwahudumia hawa machinga wote kuwapa mtaji na gharama zingine za kuwajengea soko la kisasa itagharimu Trillion ngapi? Niko tayari kutoa hicho kiasi cha hela.
Ask your mom
 
Note
Ni walewale waliosema hakuna COVID 19 sasa wanahubir kuchanjwa. Dr.morel na nchemba wakawe mfano
 
Kumkumbuka nani?
 
Wananchi wenyewe hawajielewi. Iwapo wananchi wangekuwa wanajitambua hawa viongozi wangekuwa wanafuata kile ambacho wananchi wanahitaji . Kwasababu hawa wananchi hawajielewi wacha wapelekwe vile akili yao inavyopenda
Wananchi wengi ni masikini na tatizo linaanzia hapo ndugu. Na masikini hawana sauti moja mana ni rahisi kuwanunua baadhi yao na hence kuwasaliti wenzao. Umeyaona wakati wa mwendazake wapinzani wakinunuliwa ili waunge mkono juhudi.
 
Wakati Magufuli anasema wanachinga wafanye biashara kokote, mbona hakusema haya usemayo, au ni mambo ya bendera fuata upepo?
 
Hi ngoma ya machinga ni kobe kuinamishwa kichwa, bado mbichi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…