Viongozi walioonesha wanayamudu majukumu yao

Viongozi walioonesha wanayamudu majukumu yao

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2023
Posts
7,189
Reaction score
10,375
1. Dkt. Gwajima D, Waziri wa Maendeleo ya Jamii...

2. Jerry Slaa, Waziri wa Ardhi

3. Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Arusha

4. Albert Chalamila, Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam

Hawa ndiyo niliowaona. Tutajie na wewe wa kwako.
 
Huwatambui kabisa ambao hawapo kwenye kamera?
ukimtoa Gwajima wengine wote wapenda kamera
 
Back
Top Bottom