GoldDhahabu JF-Expert Member Joined Apr 29, 2023 Posts 7,189 Reaction score 10,375 May 25, 2024 #1 1. Dkt. Gwajima D, Waziri wa Maendeleo ya Jamii... 2. Jerry Slaa, Waziri wa Ardhi 3. Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Arusha 4. Albert Chalamila, Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Hawa ndiyo niliowaona. Tutajie na wewe wa kwako.
1. Dkt. Gwajima D, Waziri wa Maendeleo ya Jamii... 2. Jerry Slaa, Waziri wa Ardhi 3. Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Arusha 4. Albert Chalamila, Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Hawa ndiyo niliowaona. Tutajie na wewe wa kwako.
ras jeff kapita JF-Expert Member Joined Jan 4, 2015 Posts 22,152 Reaction score 33,899 May 25, 2024 #2 Huwatambui kabisa ambao hawapo kwenye kamera? ukimtoa Gwajima wengine wote wapenda kamera
L Lodilofah JF-Expert Member Joined Dec 22, 2015 Posts 403 Reaction score 1,039 May 25, 2024 #3 Ongeza na yule aliyepeleka KIBWENGO Mjengoni na kuwataka wabunge wakisalimie