Viongozi Waliosoma UDSM Wameshindwa. Tuhamie Vyuo Vyengine.

Status
Not open for further replies.

Window7

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2013
Posts
4,098
Reaction score
3,038
Kiukweli asilimia kubwa ya viongozi waliopo serikalini wamesoma UDSM.

Viongozi hawa wamefanya mambo hasi kama haya.-:
1. Kushuka kwa Elimu Yetu.
2. Kuongeza umasikini nchini.
3. Kushindwa kusimamia vyema huduma za jamii.
4. Kuongozeka kwa Ufisadi nchini.
5. Kupelekea Walimu kudharaulika nchini.
6. Ajira kutolewa kwa kujuana.
7. Bunge kukosa maadili.
......8........9.........10.........11..........12..........................!!!!

Hayo ni baadhi tu ila yapo mengi sana.

Mwl Nyerere hakusoma UDSM na Nchi ilikua shwari kabisa tena yenye maadili.

Ni Wakati Sasa Wakuchagua Viongozi Kutoka Vyuo Vingine UDSM Imeshindwa Kuzalisha Viongozi Bora
 
Kweli mtupu, umetufungua macho mkuu. Kikwete, Pinda, Sospeter Muhongo, Shukuru Kawambwa, Philipo Mulugo, Job Ndugai, Riziwani Kikwete, Edward Lowassa, Andrew Chenge, William Ngeleja, Amatus Liyumba kwa uchache...

Hiki Chuo kifungwe Tu hakijasaidia nchi kabisa...
 
umekosa cha kupost.Udsm,Udom pamoja na vyuo vingine haviingilian na siasa.Ilalamikie CCM sio Udsm.kuhusu wao kusoma kusoma udsm ni mfumo uliokuepo wa chuo kimoja ndio uliopelekea wao kusoma udsm.Hata uyo nyerere angekuwa anasoma during udsm era nae angesoma udsm tu.SO FIKIRI KABLA YA KUTENDA.
 

Tundu lissu
zitto kabwe
dk mwakyembe
magufuli
mnyika john
membe
jaji joseph warioba
lipumba
james mbatia
kangi lugola
 

Exactly!
 
You're pack of fools, subirini hapo hapo mlipo mje mkombolewe sawa? Mtakufa maskini.
 
inakuuma sana kw kutochaguliwa UDSM kwa sababu ya matokeo yako mabovu
 

Kula five mkuu. Ila kisifungwe bali iwe mwisho kutoa viongozi wa nchi.
 
inakuuma sana kw kutochaguliwa UDSM kwa sababu ya matokeo yako mabovu

Kinachoniuma ni kuona nchi inapelekwa pabaya na hawa viongozi kutoka UDSM
 
Tundu lissu
zitto kabwe
dk mwakyembe
magufuli
mnyika john
membe
jaji joseph warioba
lipumba
james mbatia
kangi lugola

Unapotaka kumwaga mchele usifukuze kuku wa jirani. Mbona list yako ina ubaguzi? Nafikiri ulipata wakati mgumu sana kuchagua walio bora.
 

Nchi ingebaki mifupa. Na hata hayo madini tusingeambulia kitu. Afadhali hakutokea UDSM
 
Mkubali msikubali, UDSM ndio MIT, Oxford, Cambridge, Harvard ya Bongoland. Hayo majungu yenu tumeyazoea.
 
ukweli ni kwamba sio udsm tuu ila kariba ya wasomi wote tulionao sasa kwenye mfumo walisoma kwa mitizamo ya kibepali na wanatatua changamoto zetu kibepali na hata fikira zao za kibepali tafsiri za mafanikiwa husomwa kibepali mfano; wakati uchumu wa Tanzania unasemekana kukua kwa takwimu za wasomi wa uchumi, hali halisi kwa maisha ya kawaida ni mbaya sana. watu wanaishi kwa mlo mmoja kwa siku Yaani chini ya dola moja hasa vijijini ni hatari zaidi Kuna maeneo huwezi kusema ni Tanzania..
 
usituchafulie chuo chetu kama unashindwa kusema VIONGOZI WA CCM NDIO WALOTUFIKISHA HAPA TULIPO NYAMAZA KIMYA!!!
kwa hiyo udsm wanafundisha ufisadi na kutoa na kupokea rushwa ? ingekuwa vizuri ungefikiria before posting a thread!!
Window7
Yesterday 04:15
#1
Senior Member Array


Join Date : 17th September 2013
Posts : 232
Rep Power : 351
Likes Received23
Likes Given5


[h=2]
Viongozi Waliosoma UDSM Wameshindwa. Tuhamie Vyuo Vyengine.[/h]
Kiukweli asilimia kubwa ya viongozi waliopo serikalini wamesoma UDSM.

Viongozi hawa wamefanya mambo hasi kama haya.-:
1. Kushuka kwa Elimu Yetu.
2. Kuongeza umasikini nchini.
3. Kushindwa kusimamia vyema huduma za jamii.
4. Kuongozeka kwa Ufisadi nchini.
5. Kupelekea Walimu kudharaulika nchini.
6. Ajira kutolewa kwa kujuana.
7. Bunge kukosa maadili.
......8........9.........10... ......11..........12.......... ................!!!!

Hayo ni baadhi tu ila yapo mengi sana.

Mwl Nyerere hakusoma UDSM na Nchi ilikua shwari kabisa tena yenye maadili.

Ni Wakati Sasa Wakuchagua Viongozi Kutoka Vyuo Vingine UDSM Imeshindwa Kuzalisha Viongozi Bora
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…