Viongozi wanaojikweza alioomba Rais Samia tuwataje

Viongozi wanaojikweza alioomba Rais Samia tuwataje

Mawaziri vijana wanne wanaichafua TASWIRA ya urais wa S100, nashauri wafukuzwe haraka.

1. Makamba. 2. Nape 3. Mwigulu 4. Riz1.
Mbona Nape na Riziwan ni kama hawana tatizo na mtu?naona wako kimya na majukumu yao.
 
January Makamba na Mwigulu Nchemba wanajikuta wapo juu sana.. kwenye changamoto wanna majibu ya hovyo sana..ikukupendeza tubadilishie hao watu tafadhali.
Mtoa mada unapoteza muda wako. Hawa wanaadaliwa kuwa wafalme wa Taanzania ya baadae
 
Back
Top Bottom