kyagata JF-Expert Member Joined Oct 18, 2016 Posts 10,406 Reaction score 19,892 Aug 9, 2022 #21 Rabbon said: Mawaziri vijana wanne wanaichafua TASWIRA ya urais wa S100, nashauri wafukuzwe haraka. 1. Makamba. 2. Nape 3. Mwigulu 4. Riz1. Click to expand... Mbona Nape na Riziwan ni kama hawana tatizo na mtu?naona wako kimya na majukumu yao.
Rabbon said: Mawaziri vijana wanne wanaichafua TASWIRA ya urais wa S100, nashauri wafukuzwe haraka. 1. Makamba. 2. Nape 3. Mwigulu 4. Riz1. Click to expand... Mbona Nape na Riziwan ni kama hawana tatizo na mtu?naona wako kimya na majukumu yao.
R Rabbon JF-Expert Member Joined Apr 16, 2022 Posts 21,625 Reaction score 33,688 Aug 9, 2022 #22 kyagata said: Mbona Nape na Riziwan ni kama hawana tatizo na mtu?naona wako kimya na majukumu yao. Click to expand... Kumbe, bas sawa.
kyagata said: Mbona Nape na Riziwan ni kama hawana tatizo na mtu?naona wako kimya na majukumu yao. Click to expand... Kumbe, bas sawa.
Kamakabuzi JF-Expert Member Joined Dec 3, 2007 Posts 2,903 Reaction score 1,360 Aug 9, 2022 #23 Kisikimpingo said: January Makamba na Mwigulu Nchemba wanajikuta wapo juu sana.. kwenye changamoto wanna majibu ya hovyo sana..ikukupendeza tubadilishie hao watu tafadhali. Click to expand... Mtoa mada unapoteza muda wako. Hawa wanaadaliwa kuwa wafalme wa Taanzania ya baadae
Kisikimpingo said: January Makamba na Mwigulu Nchemba wanajikuta wapo juu sana.. kwenye changamoto wanna majibu ya hovyo sana..ikukupendeza tubadilishie hao watu tafadhali. Click to expand... Mtoa mada unapoteza muda wako. Hawa wanaadaliwa kuwa wafalme wa Taanzania ya baadae