Viongozi wanaotajwa kuongoza kuwa na akili nyingi zaidi Duniani.

Gadafi, Osama na Nyerere
 
Huu ni uhuni tu. Ni ile hali ya kuwakweza watu wa magharibi.
 
Ubinafsi mtupu...eti hata kwenye list top ten ya mahandsome boy Africa hatupo...ukiwaangalia waliowekwa ni wa kawaida sana hata bashite anawafunika[emoji3][emoji3]
 
Wanajipima wao Halafu sisi tunawapost. Ukisikia wenge IQ ndogo utakuta waafrica. Yote haya ubatili
 
mimi naona Africa haina hata mtu mmoja kwakua hatuna kasumba ya kupima hayo mambo...but kuna watu wana IQ kubwa sn kwenye hili bara..mzee Chenge,Balali,hata baba wa taifa anaweza ingia hapa...hili bara limebarikiwa kwa vipaji sema haviendelezwi...watu wanavumbua vitu mbali mbali lkn kinachotokea ni kwamba hua vipaji hivyo ktk nchi nyingi vinaishia kufungwa kwakua inakua ni "hatari kwa usalama wa nchi"..
 
Ferdinand marcos na IQ yake kubwa hadi leo yuko ndani ya jeneza ajazikwa mwaka was 28 huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…