Kiranja wa jamii
JF-Expert Member
- Jan 2, 2023
- 1,222
- 2,912
Wao Ndio wapo madarakani, katiba iliyokusanya maoni ya wananchi kupitia jaji Warioba,ilianzishwa chini ya Raisi ,J .K.Kikwete,Sasa wao ndio wapo madarakani SI watamke tuu mchakato uanze!Japokuwa kauli ya Makamu wa Rais baadhi ya watanzania hasa wanaharakati wanaiona kama ni kauli ya kishujaa na kuwahamasisha wananchi wanaodai katiba mpya kutokata tamaa
Hata hivyo ni kauli yenye mashaka na inayotakiwa kuchambuliwa kwa ubongo wa ndani
Kuna maswali kadhaa ya kujiuliza hapa;
1. Wanaotoa kauli tata kuhusu katiba mpya ni viongozi wa CCM akiwemo Rais aliyewahi kusema katiba ni "kijitabu". Halafu leo anakuja mwenzao anasema "wapambanie katiba mpya" bila kusema wanatakiwa kupambana dhidi ya nani?
Je, anajua kuwa "wao" hawako tayari kuwapa wananchi katiba mpya?
2. Kuna watu wametaja taja swala la katiba mpya lakini sasa hivi wengine ni marehemu, wengine hawajulikani walipo, wengine wako gerezani.
Anataka watanzania gani wapambane? Hao waliokutwa na yaliyowakuta hawakuwa watanzania?
3. Kwanini swala la katiba mpya hadi liwe mapambano?
Viongozi hawaoni umuhimu wake?
Wanafurahia namna katiba iliyopo inavyowaminya wananchi?
Ni hayo tu kwa sasa
kama wao ccm wanataka katiba na wako tayari kulieta ni nani anayezuia hadi sisi tuipiganie katiba? Kama ni kuipigania katiba,mbona waliosema NO REFORMS NO ELECTION NA TUTAKINUKISHA mbona wameishia kuswekwa mahabusu zaidi ya mwaka sasa na wengine wameuawa? Au kuna idadi ya watanzania wanaotakiwa kufa ndo katiba ipatikane? Kama ccm wanataka katiba mpya,yale ya MO29 yasingetokea maana maandamano yale yalikuwa ya kudai mabadiliko ikiwa ni pamoja na katiba mpya.Nchimbi ni TAPELI TU kama Mwaipopo na wengine.Halafu kwanini tupiganie katiba mpya kama Rais aliyepo ana mia ya kutupa katiba mpya?
Wasanii haoJapokuwa kauli ya Makamu wa Rais baadhi ya watanzania hasa wanaharakati wanaiona kama ni kauli ya kishujaa na kuwahamasisha wananchi wanaodai katiba mpya kutokata tamaa
Hata hivyo ni kauli yenye mashaka na inayotakiwa kuchambuliwa kwa ubongo wa ndani
Kuna maswali kadhaa ya kujiuliza hapa;
1. Wanaotoa kauli tata kuhusu katiba mpya ni viongozi wa CCM akiwemo Rais aliyewahi kusema katiba ni "kijitabu". Halafu leo anakuja mwenzao anasema "wapambanie katiba mpya" bila kusema wanatakiwa kupambana dhidi ya nani?
Je, anajua kuwa "wao" hawako tayari kuwapa wananchi katiba mpya?
2. Kuna watu wametaja taja swala la katiba mpya lakini sasa hivi wengine ni marehemu, wengine hawajulikani walipo, wengine wako gerezani.
Anataka watanzania gani wapambane? Hao waliokutwa na yaliyowakuta hawakuwa watanzania?
3. Kwanini swala la katiba mpya hadi liwe mapambano?
Viongozi hawaoni umuhimu wake?
Wanafurahia namna katiba iliyopo inavyowaminya wananchi?
Ni hayo tu kwa sasa
Kweli kabisa. Anataka watu waanze kupambania katiba mpya wajulikane wapewe kesi za ughaidi waoozee kwenye Jela zao. Labda hawajatosheka na mateso wanayowapa watanzania. Wameteka, wameua, wameweka watu ndani kwa uhaini, wameona haitoshi, wamebuni ughaidi. Ss wanatuambia tuipambanie Katiba mpya tujulikane tuko wangapi tupewe kesi za ughaidi. Wao starehe yao ni vilio vya watanzania na mateso ya watanzania wenzao.kama wao ccm wanataka katiba na wako tayari kulieta ni nani anayezuia hadi sisi tuipiganie katiba? Kama ni kuipigania katiba,mbona waliosema NO REFORMS NO ELECTION NA TUTAKINUKISHA mbona wameishia kuswekwa mahabusu zaidi ya mwaka sasa na wengine wameuawa? Au kuna idadi ya watanzania wanaotakiwa kufa ndo katiba ipatikane? Kama ccm wanataka katiba mpya,yale ya MO29 yasingetokea maana maandamano yale yalikuwa ya kudai mabadiliko ikiwa ni pamoja na katiba mpya.Nchimbi ni TAPELI TU kama Mwaipopo na wengine.
🤝Japokuwa kauli ya Makamu wa Rais baadhi ya watanzania hasa wanaharakati wanaiona kama ni kauli ya kishujaa na kuwahamasisha wananchi wanaodai katiba mpya kutokata tamaa