Viongozi Wapya wa Chadema Mtakaochaguliwa Tunawasihi Msusie Uchaguzi Muone kama Nchi Itasimama Kisa Kususa kwenu.

Siyo kususia bali uchaguzi hautafanyika, Hifadhi hili andiko
Ubaya Ubwela
Ni nchi nzima hakuna uchaguzi .
Sio mijini sio vijijini .

Hakuna mtu anaweza kwenda kupiga kura wakati kuna maandamano mpaka vijini .
Ni wazi kabisa tangu 2015 ilitakiwa CCM ingoke wakati wa Lowasa .Mzee wa busara akawasadia CCM kurudi madarakani .
Sasa ni wazi kabisa kuwa 2025 kutakua na mchuano mkali sana .

Na kwa sababu uchaguzi ujao ni kati ya Haki na dhulma ,wema na ubaya , uzalendo na ufisadi basi ni wazi kuwa waovu hawapendi kufa wala kuulizwa maana wanatamani mambo ya dunia muda wote .

Yaani waovu hawapendi haki ndio maana hata manabii na mitume wa mwenyezi Mungu walikua wanapingwa kwa nguvu zote.

Hata hivyo CCM wanajua wazi kuwa mziki wa vija wa Chadema ni mkubwa sana.

Bila marekebisho ya tume ya uchaguzi hakuna uchaguzi hiyo ni kuweka msingi bora wa haki
 
Hivi Simba icheze na Yanga halafu refarii awe mchezaji wa Simba, atolewe benchi halafu avalishwe nguo za urefarii...nk

Je Yanga watanyamaza tu waendelee na mchezo?..ndiyo yanayoendelea kwenye Nchi yetu.

Kwahiyo CHADEMA kuugomea mchezo ni halali yetu mpaka pale REFARII atakapokuwa sio mchezaji wa Simba.
 
Ubaya Ubwela
Ni nchi nzima hakuna uchaguzi .
Sio mijini sio vijijini .

Hakuna mtu anaweza kwenda kupiga kura wakati kuna maandamano mpaka vijini .
Ni wazi kabisa tangu 2015 ilitakiwa CCM ingoke wakati wa Lowasa .Mzee wa busara akawasadia CCM kurudi madarakani .
Sasa ni wazi kabisa kuwa 2025 kutakua na mchuano mkali sana .

Na kwa sababu uchaguzi ujao ni kati ya Haki na dhulma ,wema na ubaya , uzalendo na ufisadi basi ni wazi kuwa waovu hawapendi kufa wala kuulizwa maana wanatamani mambo ya dunia muda wote .

Yaani waovu hawapendi haki ndio maana hata manabii na mitume wa mwenyezi Mungu walikua wanapingwa kwa nguvu zote.

Hata hivyo CCM wanajua wazi kuwa mziki wa vija wa Chadema ni mkubwa sana.

Bila marekebisho ya tume ya uchaguzi hakuna uchaguzi hiyo ni kuweka msingi bora wa haki
Tanzania hakuna Kima wa kutumika
 
Hayo ni maagizo ya Kamati Kuu, siyo Mkumbo
CDM hawana collective responsibility hayo maagizo ya kamati kuu kuna mtu baadae atatoka na kusema ni ya mwenyekiti..Tumeona kwa hili kwenye uchaguzi - mambo yenu ya ndani mtu anatoka anasema yeye hakukubali n.k..
 
Na hapo Kibaraka Lisu atakuwa anawaburuza kama Mkoa na shaka kaka watafika mwisho maana wote kambale
 
Back
Top Bottom