ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #21
Mungu angekuwaga wa Chadomo yaani tungekoma 😆😆Endelea kutukana na Mungu akujaalie Matusi mengi zaidi, Amina
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu angekuwaga wa Chadomo yaani tungekoma 😆😆Endelea kutukana na Mungu akujaalie Matusi mengi zaidi, Amina
Ww binti uwe jf kabla ya huyo mwamba?! Au kwakuwa una kiherehere ndio unaona ni wa muda mrefu humu?Niko jf kabla Yako wewe chawa
Na wote hapo mna Kwa kukimbilia.
Lisu Ubelgiji
Lema Kanada
Heche Kenya
Bavicha hana Kwa kwenda.
Natamani sana Msusie Uchaguzi Mkuu Ili Kuwaongezea Mwendo CCM
View: https://x.com/MfanyakaziNews/status/1879108394910687446?t=JWGzlfYGS_qlO_qr0V-ZVA&s=19
chadema ya mbowe mbona uchaguzi ulifanyika.Siyo kususia bali uchaguzi hautafanyika, Hifadhi hili andiko
Vibaraka wa Mabeberu nawasubiria Kwa hamu msuse 2025 General election.Ww binti uwe jf kabla ya huyo mwamba?! Au kwakuwa una kiherehere ndio unaona ni wa muda mrefu humu?
Siku sio nyingi wataanza kugawana fito 👇 👇chadema ya mbowe mbona uchaguzi ulifanyika.
tatizo la chama chenu ni vigeugeu.
Tanzania hakuna Kima wa kutumika
Hujui hata historia,nenda mkajifunze utapata sababu za msingi za mkoloni kuachia makoloni yake yoote baada ya vita ya pili ya Dunia ikiwemo Tanganyika.Hivi unajua ni kwa nini tulipata uhuru bila kupigana na wazungu kwa kiwango cha kuwa na vita ?
Msiwachukulie watanzania poa kabisa .
Wazungu walikua walewasoma sana watanzania na kujiepusha kuingia nao vita ya kudai uhuru. Walimwambia Malikia kuwa Watanganyika wakiingia kwenye vita wazungu watakuwa wengi kuliko waliouawa Kenya. Wakasema hatutaki kumwaga damu tena kama inayolwagika kwa watu wetu huko Kenya. Ndio maana waliwaandaa watu mapema kuingia kwenye Saisa na kupigania uhuru . Waliwaza kuwa makabila yatagawanyika ili Tupigane wenyewe kwa wenyewe. Bahati nzuri Nyerere akiwa ameshafikia rank ya juu kabisa kama msomi mwenye hadhi ,hulka imani na maarifa makubwa kama wao akashtukia mchezo na kuwaunganisha Watanganyika wote kudai uhuru bila kujali makabila yao . Japo Wachagga na Chief wao Mariale walitaka kujitenga katika kupigania uhuru . Lakini wazee wachache wenye nguvu kama Mzee Aikael Mbowe walimuunga mkono Nyerere.
Lakini pia kumbuka kuwa hawa watanzania unaposema ni waoga ndio waliomtoa Kaburu pale kwenye madaraka S.A, na Zimbabwe wakapata uhuru , Namibi,Botswana n.k. Waganda pia imekombolewa na Watanzania unaowaita waoga.
Dunia inaongozwa na miungu au na Mungu . Nchi ikijaa dhulma watu wanafarakana. Lakini haki ikitamalaki basi watu wanasimamia uzalendo na kuwashinda mafisadi na magenge yao.
Lisu ni mtu mzalendo na roho ya haki imekaa ndani yake . Mungu atawainunua watu watakao waadhibu wahuni na mafisadi kwa namna ya kushangaza sana . Itafikia wakati ndani ya mwaka huu ambapo watu wataogopa kuvaa nguo za Kijani kwani wazalendo watachachamaaaa sana kupinga dhulma .
Mtafanyaje sasa,mkileta vurugu mtakimbilia Canada & Ubelgiji na mtapewa ruhusa ya kurudi 2030.
Tanzania hakuna Kima wa kutumika
Vibaraka ndio hao watashughulikiwa..wanaotumika kuharibu uchaguzi utawaita jina gani?
Kwa nini?Ccm hali ni mbaya sana, uchaguzi wa mwaka huu
Kwa uzoefu wangu Wala Hali si mbaya tena Kwa Sasa CCm Wana vinyi vya kuinesha kuliko wakati mwingine wowote.Ccm hali ni mbaya sana, uchaguzi wa mwaka huu
Hapalaliki , viongozi wako hali tete mkuu, plan zimeshindwa vibaya sanaKwa nini?
Afya ya akili ni tatizo / afya ya akili is real.Mtafanyaje sasa,mkileta vurugu mtakimbilia Canada & Ubelgiji na mtapewa ruhusa ya kurudi 2030.
Tushahifadhi mengi tu na hatukuona mantiki yake.Siyo kususia bali uchaguzi hautafanyika, Hifadhi hili andiko
Mgombea wa CCM anajulikana so watakuwa wanaongea hoja gani Sasa?Ccm sijui itamchukua mgombea gani ,vyuma vinavyokuja sio vya dunia hii,
Ushauri ccm msimamishe Mtaka ambae ni mkuu wa Mkoa kwa sasa , au mpeni Mtoto wa Nyerere ambae ni mkuu wa mkoa kwa sasa , vinginevyo mtajua Yesu ni Bwana