ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Hao wote ni wanaharakati hawana option zaidi ya kususaIpo shida wakisusa
Mtafanyaje sasa,mkileta vurugu mtakimbilia Canada & Ubelgiji na mtapewa ruhusa ya kurudi 2030.Siyo kususia bali uchaguzi hautafanyika, Hifadhi hili andiko
Usiondoke jfMtafanyaje sasa
Niko jf kabla Yako wewe chawaUsiondoke jf
Hakuna atakayekimbiaMtafanyaje sasa,mkileta vurugu mtakimbilia Canada & Ubelgiji na mtapewa ruhusa ya kurudi 2030.
Narudia tena, Usiondoke JFNiko jf kabla Yako wewe chawa
Nahifadhiii hii Mkuu!Siyo kususia bali uchaguzi hautafanyika, Hifadhi hili andiko
Hahahaahaaaa. Hata wewe umeingia ktk mkumbo?Siyo kususia bali uchaguzi hautafanyika, Hifadhi hili andiko
Hayo ni maagizo ya Kamati Kuu, siyo MkumboHahahaahaaaa. Hata wewe umeingia ktk mkumbo?
Iliomaliza muda wake au hii mpya itayoundwa?Hayo ni maagizo ya Kamati Kuu, siyo Mkumbo
Ubaya UbwelaSiyo kususia bali uchaguzi hautafanyika, Hifadhi hili andiko
Tanzania hakuna Kima wa kutumikaUbaya Ubwela
Ni nchi nzima hakuna uchaguzi .
Sio mijini sio vijijini .
Hakuna mtu anaweza kwenda kupiga kura wakati kuna maandamano mpaka vijini .
Ni wazi kabisa tangu 2015 ilitakiwa CCM ingoke wakati wa Lowasa .Mzee wa busara akawasadia CCM kurudi madarakani .
Sasa ni wazi kabisa kuwa 2025 kutakua na mchuano mkali sana .
Na kwa sababu uchaguzi ujao ni kati ya Haki na dhulma ,wema na ubaya , uzalendo na ufisadi basi ni wazi kuwa waovu hawapendi kufa wala kuulizwa maana wanatamani mambo ya dunia muda wote .
Yaani waovu hawapendi haki ndio maana hata manabii na mitume wa mwenyezi Mungu walikua wanapingwa kwa nguvu zote.
Hata hivyo CCM wanajua wazi kuwa mziki wa vija wa Chadema ni mkubwa sana.
Bila marekebisho ya tume ya uchaguzi hakuna uchaguzi hiyo ni kuweka msingi bora wa haki
Tanznaia hii hakuna kima wa kutumika,msije kimbilia huko Kwa Mabeberu wenu na kutelekeza wenzenu.Narudia tena, Usiondoke JF
CDM hawana collective responsibility hayo maagizo ya kamati kuu kuna mtu baadae atatoka na kusema ni ya mwenyekiti..Tumeona kwa hili kwenye uchaguzi - mambo yenu ya ndani mtu anatoka anasema yeye hakukubali n.k..Hayo ni maagizo ya Kamati Kuu, siyo Mkumbo
Endelea kutukana na Mungu akujaalie Matusi mengi zaidi, AminaTanznaia hii hakuna kima wa kutumika,msije kimbilia huko Kwa Mabeberu wenu na kutelekeza wenzenu.
Muulizeni Mbowe
Na hapo Kibaraka Lisu atakuwa anawaburuza kama Mkoa na shaka kaka watafika mwisho maana wote kambaleCDM hawana collective responsibility hayo maagizo ya kamati kuu kuna mtu baadae atatoka na kusema ni ya mwenyekiti..Tumeona kwa hili kwenye uchaguzi - mambo yenu ya ndani mtu anatoka anasema yeye hakukubali n.k..