Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 7,681
- 9,575
Ingependeza viongozi wa Kitaifa na wenza wao wazikwe sehemu moja (Dodoma) ili kutunza kumbukumbu, umoja na historia ya kitaifa.
Point. Itasaidia kupunguza watu kuendeleza kwao maana wengi wanakimbilia kupajenga kwao wakiwaza siku ya MazishiIngependeza viongozi wa Kitaifa na wenza wao wazikwe sehemu moja (Dodoma) ili kutunza kumbukumbu, umoja na historia ya kitaifa.
wamefanya nini la maana? waetetea Siasa mbovu kwa manufaa yao, leo wananchi akina Mdude et al wanapotea kwa sababu katiba mbovu waliyoilinda inampa Rais UMungu mtu! na ndiyo haya ynayoendelea tanganyika yanapoanziaIngependeza viongozi wa Kitaifa na wenza wao wazikwe sehemu moja (Dodoma) ili kutunza kumbukumbu, umoja na historia ya kitaifa.
Asante SanaIngependeza viongozi wa Kitaifa na wenza wao wazikwe sehemu moja (Dodoma) ili kutunza kumbukumbu, umoja na historia ya kitaifa.
Wewe nafikiri ni mmoja wa hao wahuni, wasaliti wa Tanganyika.Ingependeza viongozi wa Kitaifa na wenza wao wazikwe sehemu moja (Dodoma) ili kutunza kumbukumbu, umoja na historia ya kitaifa.
Asante SanaTUKATIKI