Viongozi watatu Wakuu wa Hezbollah waliouawa mpaka sasa, mmoja hajamaliza siku 5!

Sodoku

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2016
Posts
1,271
Reaction score
2,903
Bado nakataa kuamini. Sitaki kabisa kuamini. Hivi ni kweli? Ama naota? inakuaje kuaje?haiingii akilini? Nadhani sasa Khayatollah ajishike vizuri. Hawa jamaa si watu wazuri.

Akae kwa kutulia sana. Sisi tuliwategemea sana Hezbollah. Sasa tunashindwa kuelewa. Nini kinaendelea huko. Maana tulisema Iran inatusaliti lakini sasa imeonesha nayo kuishambulia Israel. Sasa shida ipo wapi?

Soma Pia: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel, Gaza na Iran




 
Hili linafaida gani kwetu kama taifa la Tanzania.
 
Nadhani kinachoendelea Lebanon hawataki hawa jamaa waendelee kuwepo maan haiwezekani uwe na nchi halafu na kikundi cha wapiganaji kikipigana na nchi jirani, so hata Hamasi chama cha Fatah nadhani kiliwachoka.
 
We kweli bwege sa kashinda vita karudisha waisrael kule North. Jeshi.lake limeingia Lebanon hio kuwauwa sio tatizo atashika mwingine. Afu mpa mda hu hakuna tarifa kutoka Hezbullah sisi tunamini Hezbullah wanaume hawafichi hata kama kafa mtu wao. SIO hao kenge wanawaita askari zao walio kufa kuku walikuwa kwenye banda😄
 
Mbona kama umepaniki dogo?sheikh wangu una hasira sana. Haya mambo hayataki hasira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…