Viongozi wazuri wako CCM, hata ukinuna shauri yako

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Hebu sikiliza wananchi hawa wazalendo nchini, wakielezea uzuri wa viongozi wa CCM kwa video ya wimbo bora kabisa hapa chini.

Fanya uwezavyo ndugu mdau, tafuta bando na udownload wimbo huu wa maana sana kwako na kwa Taifa zima 🐒

Mungu Ibariki Tanzania.

Hebu sikiliza wananchi hawa wazalendo nchini, wakielezea uzuri wa viongozi wa CCM kwa video ya wimbo bora kabisa hapa chini..

Fanya uwezavyo ndugu mdau, tafuta bando na udownload wimbo huu wa maana sana kwako na kwa Taifa zima 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Magufuri,Makonda,Sabaya,Chalamila,Mnyeti,Homera na Job Ndugai pamoja na wengine.Basi kuzaliwa Tanzania ni laana kuwa na kizazi kilichojaa majambazi kila kona ya nchi wakilinda maslahi ya ccm.
 
Nina ushahidi wa majambazi, mafisadi, wauaji,washirikina,wazinzi, wote wakubwa kuwa CCM kwa kulindwa, na si kwa mapenzi yao kwa chama.

Genge la namna hiyo kiongozi mzuri anatoka wapi!!???

A needle in a haystack.
 
Hebu sikiliza wananchi hawa wazalendo nchini, wakielezea uzuri wa viongozi wa CCM kwa video ya wimbo bora kabisa hapa chini..

Fanya uwezavyo ndugu mdau, tafuta bando na udownload wimbo huu wa maana sana kwako na kwa Taifa zima 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Aah kabisa hata wakinuna ujumbe umewafikia!
 
Hebu sikiliza wananchi hawa wazalendo nchini, wakielezea uzuri wa viongozi wa CCM kwa video ya wimbo bora kabisa hapa chini..

Fanya uwezavyo ndugu mdau, tafuta bando na udownload wimbo huu wa maana sana kwako na kwa Taifa zima 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
Attachments

  • 5781825-51775523b226d8414338068b2d50cfec.mp4
    3 MB
Hebu sikiliza wananchi hawa wazalendo nchini, wakielezea uzuri wa viongozi wa CCM kwa video ya wimbo bora kabisa hapa chini..

Fanya uwezavyo ndugu mdau, tafuta bando na udownload wimbo huu wa maana sana kwako na kwa Taifa zima 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Hakika wana Uzuri wa kuiba , kupora na kuua watanzania wanaohatarisha maslahi yao.
 
Ndio Viongozi bora wapo CCM na 2025 mgombea Urais wa CCM atakuwa Mwanaume kijana mwenye nguvu, hekima na hofu ya Mungu kuiongoza Tanzania. Wanawake wameshajaribu imetosha kwa ngazi ya juu ya Uongozi wa Nchi.
Hebu sikiliza wananchi hawa wazalendo nchini, wakielezea uzuri wa viongozi wa CCM kwa video ya wimbo bora kabisa hapa chini..

Fanya uwezavyo ndugu mdau, tafuta bando na udownload wimbo huu wa maana sana kwako na kwa Taifa zima 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
CCM ndiyo wameifukarisha nchi hii hadi tunaishia kuwa ombaomba licha ya utajiri lukuki tuliojaliwa na Muumba. Huku kanda ya ziwa kulikuwa na dhahabu kibao lakini sasa tumeachiwa mashimo matupu na vumbi tu na umasikini wa kutisha. Ni viongozi wa CCM walioingia mikataba ya kimangungo iliyowaruhusu mabeberu kuondoka na madini yetu wakituacha na umasikini wetu.
 
Hebu sikiliza wananchi hawa wazalendo nchini, wakielezea uzuri wa viongozi wa CCM kwa video ya wimbo bora kabisa hapa chini..

Fanya uwezavyo ndugu mdau, tafuta bando na udownload wimbo huu wa maana sana kwako na kwa Taifa zima 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Walikuwa wanatoa viongozi, but not anymore. Baada ya 2010 waliokuja after that ni chawa, au wana ubinafsi. Wazuri wameshuka to 1%

The rest ni chawa chawa au fisadi
 
Hebu sikiliza wananchi hawa wazalendo nchini, wakielezea uzuri wa viongozi wa CCM kwa video ya wimbo bora kabisa hapa chini..

Fanya uwezavyo ndugu mdau, tafuta bando na udownload wimbo huu wa maana sana kwako na kwa Taifa zima 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Wana funza vichwani...huo ni mtaji mkubwa wa CCM...tuwaache waendelee kuteseka na umaskini,ujinga na maradhi...
 
Magufuri,Makonda,Sabaya,Chalamila,Mnyeti,Homera na Job Ndugai pamoja na wengine.Basi kuzaliwa Tanzania ni laana kuwa na kizazi kilichojaa majambazi kila kona ya nchi wakilinda maslahi ya ccm.
CCM ni chama Tawala kinacholinda maslahi ya waTanzania wote na ndicho kinachoongoza dollar kwa niaba ya wananchi na kwakweli ndicho chama kinachohakikisha umoja, amani na utulivu wa waTanzania, hauvurugwi wala kuhatarishwa na mtu, kikundi cha watu wala taifa lolote la kigeni...

Usalama Tanzania utalindwa kwa nguvu na gharama yoyote na serikali imara na sikivu sana ya CCM 🐒
 
Back
Top Bottom