Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
- Thread starter
- #21
Ni matumaini yangu kua unao pia ushahidi wa kutosha dhidi ya nyang'anyi kuu la malori ya watu ambalo sasa linajiita nabii,Nina ushahidi wa majambazi, mafisadi, wauaji,washirikina,wazinzi, wote wakubwa kuwa CCM kwa kulindwa, na si kwa mapenzi yao kwa chama.
Genge la namna hiyo kiongozi mzuri anatoka wapi!!???
A needle in a haystack.
Lakin pia unao ushahidi usio na shaka dhidi ya wapiga konyagi hadi kuvunjika miguuu,
lakin zaid sana, unao ushahidi wa taaalamu la mataalamu la kuomba omba kuchangiwa professional wa kimataifa 🐒
Kubwa kuliko,
sina shaka yoyote kwamba unao ushahidi usio na shaka, wapigaji kuu la pesa za join the chain na kopeshaji kuu la Chama 🤣
viongozi wazuri wako CCM hata ukinuna shauri yako....