Viongozi wenye msimamo kama hawa sijui waliishiaga wapi?

Viongozi wenye msimamo kama hawa sijui waliishiaga wapi?

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,040
Sijui waliishiaga wapi viongozi wenye msimamo kama hawa katika nchi zetu?

Viongozi wenye uwezo wa kukataa hongo zisizo na mbele wala nyuma kwa maslahi mapana ya nchi
Viongozi wenye uwezo wa kusema hapana, nazitamani sana siku kama hizi zenye viongozi wenye msimamo kama zirudi.

Sijui nchi zetu zimepatwa na nini, viongozi wetu wamekumbwa na janga gani namna wanavyofikiria na kuchukua maamuzi, inasikitisha sana.

Soma pia: Viongozi wetu kuwa na ndimi mbili si sawa, ni ishara ya kukosa uelekeo na msimamo

 
Back
Top Bottom