Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,746
kwani kukaa oysterbay kunaambatana na elimu au hela?Mwenyekiti wa Oyster bay anapaswa kuwa smart kuliko sisi wa Kinyerezi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwani kukaa oysterbay kunaambatana na elimu au hela?Mwenyekiti wa Oyster bay anapaswa kuwa smart kuliko sisi wa Kinyerezi.
Unless it changed yesterday, that's what it used to be.kwani kukaa oysterbay kunaambatana na elimu au hela?
Aisee kwakweli inachekesha sana! inafaa jukwaa la Burudani,lakini message imefika bwana,hata hivyo siyo lugha yetu ya mama. Angalizo siku nyingine ajitahidi kupeleka kwa wajuzi au wakubwa wake wanaojua vizuri lugha hiyo ili waipitie!
Vipi hapo kwenye Beural!
Never accept mediocrity for any reason.kajitahidi
ujumbe unaeleweka
Du aisee si angendika kiswahili tu? Ahaa kwa vile kule oysbey wazungu wengi ndio maana akajikakamua. Sasa si angetafuta japo mtu anaekijua? Du kali.
Je angetumia kiswahili ingekuwaje? au Kingereza ni lazima kwa sababu ni oysterbay?
View attachment 63214