Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,630
- 47,434
Wakuu.
Ukiangalia namna mambo yanavyokwenda kwenye Jamhuri yetu hii pendwa utaona wazi kabisa kuwa kuna ombwe la uongozi.
Inaction is everywhere.
Inatokea issue critical ambayo inahitaji maamuzi ya haraka , kila mtu anabakia kumtegea mwenzake.
Kiongozi badala ya kutake action naye anabakia kulalamika, sasa unabakia kujiuliza nani wa kuchukua uamuzi kama kiongozi mwenye dhamana naye analalamika badala ya kufanya maamuzi.
Sasa sijui nani wa kujitwika mabomu na kuamua kwa mambo yanayowagusa wananchi moja kwa moja.
Je. Viongozi wetu nao wanahitaji watu wa kuwaongoza??