Viongozi wetu wa Yanga SC tafadhali hatumtaki tena Kocha Lwandamina tumemchoka

Wamekusikia, ila msimamo wao ni uleule hata ukitumia fasihi gani; haondoki Omog, wala Mavugo, wala Niyonzima. Na wataendelea kucheza piga-ua, ama-faima, pika-pakua, jua-mvua.
 
Haya bwana Hassan Dalali.Tumekusikia mtani watu.
 
Nimejikuta nacheka kwa sauti! Acha mizaha ndgu rudi kwa manara mkaombe penati
 
Du!kuna watu wana mda wa mchezo kwelikweli. Hivi umekaa week end hii mtoto wa kiume ukatumia dk kadhaa kuandaa Hili bandiko. Poleni sana.
 
Ebu tuachieni yanga yetu atutaki umbea sawa pumbavuuuuuuuuuuuu
 
Simba ndio wanatakiwa wamtimue kocha. Hafai..
Lakini Yanga tatizo siyo kocha....
Ni wachezaji...
 
Simba ndio wanatakiwa wamtimue kocha. Hafai..
Lakini Yanga tatizo siyo kocha....
Ni wachezaji...

Kumbe hata katika michezo nawe ' wamo ' Mkuu? Nilidhani ni kule tu kwenye ule ' uzi ' wa Mzee Mkono ndiyo ulikobobea kwa ' mapovu '.
 
Kumbe hata katika michezo nawe ' wamo ' Mkuu? Nilidhani ni kule tu kwenye ule ' uzi ' wa Mzee Mkono ndiyo ulikobobea kwa ' mapovu '.
Mapovu unayo wewe. Ulimtetea yule mzee with no evidence. Na leo unamsingizia Lwandamila kumbe tatizo ni wachezaji.
Anyway Yanga ilibebwa sana na JAMAL MALINZI sasa mwaka huu hayupo ndio maana mnaona kana kwamba haifanyi vizuri. Ni kwamba mechi za viporo hamna na siku hizi magoli ya PENATI Yanga hawapewi ukilinganisha na kipindi cha Jamal Malinzi. Upo hapo?
Na yale magoli ya netball style hayapo siku hizi. Tambwe hayupo na hata akipona magoli mpakato hayana nafasi tena mwaka huu. Bado upo?
 
Kumbe ukitulia huwa unakuwa na ' umakini ' halafu sikujua kuwa hata katika medani za michezo nawe pia uko ' nondo ' vile vile Mkuu.
 
Kumbe ukitulia huwa unakuwa na ' umakini ' halafu sikujua kuwa hata katika medani za michezo nawe pia uko ' nondo ' vile vile Mkuu.
Mimi niko nondo nyanja nyingi. Ukija na hoja za maana utanipenda.....na ukija na hoja za ovyo ovyo hapa ndio mahala pake!
 
Mimi niko nondo nyanja nyingi. Ukija na hoja za maana utanipenda.....na ukija na hoja za ovyo ovyo hapa ndio mahala pake!

Kwahiyo Wewe ni ' Chizi Maarifa ' fulani hivi Mkuu au siyo? Yaani kote kote upo kama Kiungo wa Yanga SC ' Tshishimbi ' vile!
 
Yule mchezaji wa yanga wanayemtuhumu kuwa ni CHAKLA?

Angekuwa kweli ' Chakula / Bwabwa / Punga ' angeweza ' Kuupiga ' vizuri vile Fabo / Mpira Mkuu? Sema tu nae aliharibu tu kule kuvalia kile ' Kikuku ' chake Mguu wa Kushoto ndiyo maana ' Masela ' wakahitimisha kwamba huenda ' anashindiliwa ' Kibaiolojia na Mikuyenge ya ' Madume ' wa down town.
 
mambo ya mpira waachie watu wa mpira. Lwandamila ni kocha mzuri; ila Plujin ni mzuri zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…