Viongozi wetu wa Yanga SC tafadhali hatumtaki tena Kocha Lwandamina tumemchoka

Haijalishi. Yule Rand Orton mcheza mieleka ya WWE pamoja na ubabe woote uke kumbe ni CHAKLA. Kuliwa kumbe hakuondoi nguvu.....
Hata huyu dogo papii naye yawezekana aliwa lakini mashuti ya mupira yako vilevile...
 
Duu, jamaa kweli katapika tena katapika mlenda.
 
Yanga tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]poleni watani
 
Matajiri wa Yanga jitokezeni timu ina hali mbaya...dirisha dogo linakuja tufanye usajili wa maana hata wachezaji wapya watano...Mohammed issa na Selemani Kihimbwa(Mtibwa)...Marcel na Peter Mapunda(Majimaji) ...Shahibu Kiyombo (mbao fc) na Bossou arudishwe kikosini...Believe me Yanga itakuwa bingwa Mara ya 4 mfululizo na kufanya vizuri CAF
 
Gentamycine katk watu wanafiki wewe unaongoza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…