Viongozi wetu wajibikeni

Viongozi wetu wajibikeni

Lugano Edom

Senior Member
Joined
Dec 2, 2021
Posts
122
Reaction score
186
Ukweli ulio Tukuka, Kuna baadhi ya maeneo katika nchi yetu hayapati maendeleo kutokana na aina ya viongozi walionao ambao siyo wachapakazi. Viongozi waliochaguliwa wanafanya kazi kwa kupendelea kundi la watu fulani tu. Wakati mwingine, baadhi ya viongozi hawawezi kuwajibika mpaka siku za viongozi wakubwa ambao wanawazidi cheo ndio wataonekana kwenye eneo la wananchi.

Viongozi, iweni wawajibikaji wa vitendo bila kuchoka kulingana na nafasi yenu.
 
Back
Top Bottom