Viongozi wetu wanaamnini nzige wametengenezwa na maadui zetu

Viongozi wetu wanaamnini nzige wametengenezwa na maadui zetu

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1582744846892.png
 
Watu wanatengeneza virus katika maabara, kirusi mdogo mno kuliko bakteria, sasa watashindwaje kutengeneza nzige mdudu mkubwa comparatively , ----- it can be manufactured not created invitro through genes cloning, in this case he is some how correct.
mkuu nzige ni wadudu wapo tangu siku nyingi, huibuka vipindi Fulani na kupotea kama walivyo viwavi jeshi
hata wazee watu wanasimulia miaka Fulani waliibuka wakala mazao yote
 
Unaweza ukaona mtu amevaa suti anashuka kwenye Range Rover ukasema mtu si ndio huyuuuh. Subiri aongee ndio utajiuliza kwani huyu asiwe kwenye bunge la watoto chini ya umri wa miaka 10?
Nimevumilia sana kutokucheka........
 
mkuu nzige ni wadudu wapo tangu siku nyingi, huibuka vipindi Fulani na kupotea kama walivyo viwavi jeshi
hata wazee watu wanasimulia miaka Fulani waliibuka wakala mazao yote

Ninazungumzia juu ya genetical cloning, yaani wanachukua nzige wanamtoa gene na wanaifanyia cloning katika maabara kuzalisha aina nyingine za hao wadudu.
 
Kwa hiyo mzungu ametengeneza Nzige halafu akawatuma Koromije?
 
Back
Top Bottom