Luca Paguro
JF-Expert Member
- Mar 26, 2023
- 502
- 1,141
Ukweli usemwe, viongozi wa Tanzania kila siku ni kutoa speech, mara sijui tuwe wazalendo, mara tujenge nchi, mara taifa letu ni imara, mara utasikia hatutavumilia viongozi wazembe, mara sijui tutaongeza fursa kwa vijana, yani kila siku ni speech tu halafu utekelezaji zero
Na hizi speech ni mikutano unakuta waliohudhuria wanapewa posho ila hakuna cha maana wanachotekeleza. Wao ni ufisadi kwenda mbele
Samia alishawahi kusema Nepotism ni kitu kibaya na kitaharibu nchi kama tutakiendekeza. Alipinga vibaya sana nepotism ila na yeye akaja kufanya kitu kilekile alichokipinga kwenye speech yake. Amejaza ndugu na mashosti zake kwenye wizara muhimu za taifa, yani sijui hata kama wana vigezo hao ndugu zake, Nepotism ya hali ya juu kabisa. Sasa ile speech yake alikuwa anamwambia nani, takataka kabisa
Hawa viongozi wanaropoka sana na bado Tanzania umasikini unazidi kuongezeka, rushwa ndio inazidi kupamba moto yani ipo kila sehemu sasahivi, ufisadi ndo usiseme, sikuhizi hata Jumamosi ya mwisho wa mwezi viongozi hawahamasishi usafi kama enzi za JPM, miji ni michafu hatari. Mpangomji hauzingatiwi kila kona, maisha ya watu yanazidi kuwa magumu siku hadi siku, uwekezaji wenyewe umedorora, makampuni Bongo machache mno, yani taifa lina umasikini mkubwa sana na hali inazidi kuwa mbaya, viongozi kila siku wanakuja na speech tu, mara sijui maendeleo, sijui uchumi wetu ni imara blah blah blah
Mnakera yani mnaboa kinoma nyie viongozi wa CCM na speech zenu uchwara. Ifike wakati mkae tu kimya maana hakuna la maana mnalofanya, mjifunze kwa Botswana muangalie waliwezaje kupunguza umasikini kwa kiasi kikubwa vile, labda mtaelewa seeikali inapaswa kufanya nini kuhakikisha resources za nchi zinaleta fursa kwa wananchi
Acheni speech, fanyeni kazi. Fukuzeni viongozi vilaza, muwaweke viongozi wenye akili ambao vichwa vyao vimejaa idea za maendeleo, sio hao mlionao sasahivi. Kila siku speech tu na taifa linaangamia, pumbavu kabisa