Viongozi wetu wapo active kwenye mitandao but ukiwafuata dm hawajibu

Viongozi wetu wapo active kwenye mitandao but ukiwafuata dm hawajibu

Trubarg

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2020
Posts
4,388
Reaction score
7,223
Nashangazwa na viongozi wetu wa siasa kuwa very active kwenye social media kupost mambo wanayoyafanya, but ukisema uwafuate inbox kuwaeleza changamoto yako hawakujibu
Moja kati ya viongozi niliojaribu kwenda nao dm ninpamoja na Waziri wa maji (Juma Aweso) na Nikki wa Pilli.
 
Nashangazwa na viongozi wetu wa siasa kuwa very active kwenye social media kupost mambo wanayoyafanya, but ulisema uwafuate inbox kuwaeleza changamoto yako hawakujibu
Moja kati ya viongozi niliojaribu kwenda nao dm ninpamoja na Waziri wa maji (Juma Aweso) na Nikki wa Pilli.
Watu wapo bize na wake zao. Wakujibu wewe utawapa nn?
 
Pole sana ,Viongozi kujibu PM wanaona kama wanajishusha!! Mimi naona kama ulimbukeni kutojibu PM au comment.
 
Land cruiser LC300
 
Attachments

  • images (64).jpeg
    images (64).jpeg
    4.5 KB · Views: 2
Mkuu, moja ya sifa kuu ya mwanasiasa ni ubinafsi.
Wanaishi kanakwamba hawajui kwanini wako pale.

Siku ikitokea kwa namna yoyote ukapata nafasi ya kumwajibisha, fanya hivyo bila kumuhurumia.
 
Nashangazwa na viongozi wetu wa siasa kuwa very active kwenye social media kupost mambo wanayoyafanya, but ukisema uwafuate inbox kuwaeleza changamoto yako hawakujibu
Moja kati ya viongozi niliojaribu kwenda nao dm ninpamoja na Waziri wa maji (Juma Aweso) na Nikki wa Pilli.
Unajua maana ya hypocrisy ?? Basi ndio sifa kuu ya hawa viongozi wetu kwa hiyo usiwatilie maanani kiivyo..
 
Nashangazwa na viongozi wetu wa siasa kuwa very active kwenye social media kupost mambo wanayoyafanya, but ukisema uwafuate inbox kuwaeleza changamoto yako hawakujibu
Moja kati ya viongozi niliojaribu kwenda nao dm ninpamoja na Waziri wa maji (Juma Aweso) na Nikki wa Pilli.
Toyeye na Carleen nao wamekuchunia?

Sky Eclat na Rebecca wapo dunia hii, wamebanana sana na kimajukumu au tayari wameshaenda mbinguni?
 
Tafuta pesa kiongozi [emoji276]uone kama hautajibiwa
Kikao chetu cha mwisho cha kiumeni ni "pata pesa/kuwa na pesa" utoro wenu ndiyo unaturudisha nyuma kimaendeleo.

Nani hatafuti pesa dunia hii, hata MARIOO si hutafuta pesa kwa kujipendekeza kwa Shugamami?
 
usilazimishe kudanganywa

hapo kwny public wanaigiza sasa ww kwenda DM unataka kuwazoea ki serious na hicho hawakitaki
 
Back
Top Bottom