Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 20,654
- 35,887
Heshima kwenu wanajamvi,
Nimemfuatilia Mh. Rais Mstaafu Mzee Kikwete akielezea mahusiano yake na familia ya Manji, kwamba alikabidhiwa kijana wake amlee.
Ni wazi Manji alikwapua fedha nyingi za NSSF kupitia miradi kausha damu. Tuna shukuru Mungu Magufuli alimfikisha sehemu yake inayostahili.
Kupitia kumbukizi ya Late Manji unagundua kwamba Viongozi wetu tuliowapatia dhamana ya kutuongoza wapo tayari kuweka kando dhamana ya mamilioni ya wananchi na kumlinda mtu mmoja.