Ni tuhuma tu za kawaida kwa sie watu masikini, hufikiri umasikini wetu umesababishwa na matajiri........Heshima kwenu wanajamvi,
Nimemfuatilia Mh Rais Mstaafu Mzee Kikwete akielezea mahusiano yake na familia ya Manji.
Kwamba alikabidhiwa Kijana wake amlee ?.
Ni wazi Manjis alikwapua fedha nyingi za NSSF kupitia miradi kausha damu.Tuna shukuru Mungu Magufuli alimfikisha sehemu yake inayostahili.
Kupitia kumbukizi ya Late Manjis unagundua kwamba Viongozi wetu tuliowapatia dhamana ya kutuongoza wapo tayari kuweka kando dhamana ya mamilioni ya wananchi na kumlinda mtu mmoja.
Nakumbuka ile kuuzia majengo kwa bils chache akayapga rangi na kuyauza tena kwa waliomuuzia yani nssf kwa bils 84 kama sikosei.Heshima kwenu wanajamvi,
Nimemfuatilia Mh Rais Mstaafu Mzee Kikwete akielezea mahusiano yake na familia ya Manji.
Kwamba alikabidhiwa Kijana wake amlee ?.
Ni wazi Manjis alikwapua fedha nyingi za NSSF kupitia miradi kausha damu.Tuna shukuru Mungu Magufuli alimfikisha sehemu yake inayostahili.
Kupitia kumbukizi ya Late Manjis unagundua kwamba Viongozi wetu tuliowapatia dhamana ya kutuongoza wapo tayari kuweka kando dhamana ya mamilioni ya wananchi na kumlinda mtu mmoja.
HakikaEti hawa ndio viongozi waliolelewa na Mwl Nyerere !.
Nadhani tuliwahi kupata uhuru,ukitazama nchi zilizochelewa kupata uhuru utagundua ziko mbali au zilikuwa mbali.
Hiyo mada ya Kikwete na Manji nimeamua kwa maksudi kabisa kutoisoma. Lakini wewe hapa umenisaidia sana kwa maelezo yako katika mstari huo wa mwisho:Heshima kwenu wanajamvi,
Nimemfuatilia Mh. Rais Mstaafu Mzee Kikwete akielezea mahusiano yake na familia ya Manji, kwamba alikabidhiwa kijana wake amlee.
Ni wazi Manji alikwapua fedha nyingi za NSSF kupitia miradi kausha damu. Tuna shukuru Mungu Magufuli alimfikisha sehemu yake inayostahili.
Kupitia kumbukizi ya Late Manji unagundua kwamba Viongozi wetu tuliowapatia dhamana ya kutuongoza wapo tayari kuweka kando dhamana ya mamilioni ya wananchi na kumlinda mtu mmoja.
Udhaifu wa uongozi wa Kikwete huwa nauhusisha na maswala ya aina hii. Huyu ni mtu wa ma-'deal'. Ufanisi wa maisha ya waTanzania kwake siyo jambo la muhimu sana. Hali ni hiyo hiyo na huyu 'Chura Kiziwi'. Utadhani ni mtu na mdogo wake!Kupitia kumbukizi ya Late Manji unagundua kwamba Viongozi wetu tuliowapatia dhamana ya kutuongoza wapo tayari kuweka kando dhamana ya mamilioni ya wananchi na kumlinda mtu mmoja.
Naona wataalamu wa grafu na Kalamu mnaunganisha dontsi (dots) kwa makini sana. 🙂Ushauri wa Kikwete kwa Manji, kuhusu kunyamaza na mambo yatapita; naona ni ushauri huo huo unaoendelea kutumiwa na 'Chura Kiziwi'.
Upo sahihi kabisa ndugu yangu, hapa Tanzania ukipata uongozi unakuwa malaika. Unataka uabudiwe. Unataka pesa za watu mili 10 utumie ww mwenyewe.ukiongea pumba unasema hamkunielewa. Hili limeturudisha sana nyuma. Ni upuuzi na upumbavu.Heshima kwenu wanajamvi,