Viongozi wote kabla ya tupata uongozi tuhakikishe wamepata somo la katiba

Best home tutor

Senior Member
Joined
May 8, 2026
Posts
194
Reaction score
268
Salama

Nimapendekezo yangu viongozi wote wahakikishe wanapata somo la katiba kwa sababu viongozi anapokula kiapo anasema "Nitailinda ,kuhifadhi na kutetea "katiba ya Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania .

Huwezi kuilinda katiba ambayo huijui ,haujui sheria zilizomo pengine unasoma tu kiapo kama gazeti tu.

Ili kuwepo na utawala wa sheria na haki viongozi lazima wajue katiba wanayoenda kuilinda ,kuihifadhi na kuitetea inazungumzia vitu gani?

Hii itasaidia kupata Viongozi wazalendo,Waadilifu na wenye kuzingatia utawala wa sheria.
 
na hata kwenye madhehebu ya dini mbalimbali ni vema viongozi wa dini wakapata masomo ya bibilia au Quran kikamilifu kabla ya kushika hatamu za kuongoza wengine katika imani 🐒
 
Ni kweli .

Kila mtu ahakikishe anataaluma ya kutosha juu ya kiapo chake ili kila mtu asitoke kwenye reli.
 
Back
Top Bottom