Best home tutor
Senior Member
- May 8, 2026
- 194
- 268
Wapitie law schoolAtakaetoa somo nani?
Ni kweli kuna umuhimu wa kupata katiba mpya Ila na viongozi waisome huwezi kuhifadhi na kulinda kitu ambacho hukijuiKwanza tuanze kwa kuibadilisha hivi katiba ya hovyo iliyopitwa na wakati
na hata kwenye madhehebu ya dini mbalimbali ni vema viongozi wa dini wakapata masomo ya bibilia au Quran kikamilifu kabla ya kushika hatamu za kuongoza wengine katika imani 🐒Salama
Nimapendekezo yangu viongozi wote wahakikishe wanapata somo la katiba kwa sababu viongozi anapokula kiapo anasema "Nitailinda ,kuhifadhi na kutetea "katiba ya Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania .
Huwezi kuilinda katiba ambayo huijui ,haujui sheria zilizomo pengine unasoma tu kiapo kama gazeti tu.
Ili kuwepo na utawala wa sheria na haki viongozi lazima wajue katiba wanayoenda kuilinda ,kuihifadhi na kuitetea inazungumzia vitu gani?
Hii itasaidia kupata Viongozi wazalendo,Waadilifu na wenye kuzingatia utawala wa sheria.
Ni kweli .na hata kwenye madhehebu ya dini mbalimbali ni vema viongozi wa dini wakapata masomo ya bibilia au Quran kikamilifu kabla ya kushika hatamu za kuongoza wengine katika imani 🐒