Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 4,629
- 13,551
Viongozi wote wa dini watenge siku maalum ya kuwaombea maaskari wote wakatae kutumika kukandamiza wananchi.
Siku hiyo maalum maaskari wote wanaoshika bunduki waombewe makanisani na misikitini. Mungu awasaidie wakatae kutumika kukandamiza wananchi. Wakatae kutesa wananchi. Wakatae kutumika kuharibu uchaguzi. Wakatae kutumika kuiba kura. Maaskari wote wombewe kuanzia polisi, usalama, wanajeshi n.k.
Ni muda wa kuwakabidhi maaskari wote mikononi mwa Mungu. Awafungue akili zao na kubadili mioyo yao. Wakatae kutumika kukandamiza wananchi wasio na hatia.
Maaskari wanaturudisha nyuma watanzania. Maisha haya magumu chanzo ni kufata maagizo kandamizi toka juu. Maaskari mnaturudisha nyuma na kutuangusha sana sisi watanzania wenzenu. Kama maisha magumu ni kwetu sote, hiyo bunduki, uniform, mshahara ni kodi yangu kwa nini unanikandamiza? Kwa nini unakubali kutumika kuharibu uchaguzi?
Nakuombea Wewe Askari Mungu akusaidie, ufunguke akili, Mungu akusaidie ubadilike fikra, Mungu akusaidie ubadilike Moyo wako.