Viongozi wote Yanga watangaza kujiuzulu

Viongozi wote Yanga watangaza kujiuzulu

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Viongozi walizokuwa wamebaki katika klabu ya Yanga wote Leo wametangaza kujiuzulu katika nafasi zao wakiongoza na kaimu makamu mwenyekiti Samwel Lukumay, wengine waliojiuluzu ni Suzan Lyimo na mwenyekiti kamati ya usajili Hussein Nyika
Kujiuzulu kwa viongozi hao kunatoa nafasi kwa klabu hiyo kuitisha Uchaguzi mkuu amboa kimsingi ulitakiwa kufanyika mwaka 2020, hili limetokana na kushindikanika kufanyika Uchaguzi mdogo wa kujaza nafasi zilizokuwa wazi Mara baada ya mwenyekiti Yussuf Manji kujiuzulu na baadhi ya wajumbe
Screenshot_20190327-131205~2.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuhusu uongozi mzima wa klabu kujiuzulu ni jambo jema ili uchaguzi mkuu/wa jumla ufanyike na viongozi kupatikana itakayopelekea klabu ijiwekee mikakati ya maendeleo.ushindi badala ya migogoro/mizozo/mitifuano/isiyo na tija kwa maendeleo ya klabu na michezo.
Viongozi walizokuwa wamebaki katika klabu ya Yanga wote Leo wametangaza kujiuzulu katika nafasi zao wakiongoza na kaimu makamu mwenyekiti Samwel Lukumay, wengine waliojiuluzu ni Suzan Lyimo na mwenyekiti kamati ya usajili Hussein Nyika
Kujiuzulu kwa viongozi hao kunatoa nafasi kwa klabu hiyo kuitisha Uchaguzi mkuu amboa kimsingi ulitakiwa kufanyika mwaka 2020, hili limetokana na kushindikanika kufanyika Uchaguzi mdogo wa kujaza nafasi zilizokuwa wazi Mara baada ya mwenyekiti Yussuf Manji kujiuzulu na baadhi ya wajumbe
View attachment 1055201

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio matunda ya kuwa kiherehere kwenye mambo ya jirani huku kwako kunawaka moto .Migongo wazi.
 
Pesa ya uchaguzi watatoa wapi wakati wachezaji wanalia njaa!!
 
Kwan As vita walivyokuja hawakuwapa hata kamchango kidogo kakukuza club ? Ila ni mashabiki wao ni wazembe sanaaa ss wao walienda kuishangilia vita siku ike kumbe club huku michango haitoshi mpaka viongozi wanaachia ngazi bwana
 
Any way,kuna mambo tanawekwa sawa pale Yanga,kuna tajiri mmoja mkubwa anataka kuichukua timu na kufanya uwekezaji mzito,wameeona kusubiria 2020 ni mbali na hali ya timu kwa.sasa sio nzuri.
Viongozi kujiuzulu hiyo ni strategy tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lengo ni bilioni 1.5 za usajili.Zimechangwa kwenye bakuli mpaka jana 26 machi 2019 ni milioni 60.
 
Mambo ya Yanga kwasasa tumwachie Mungu kwani kila analolifanya Mzee Mkuchika waandishi wanasema anavunja Sheria sasa afanye Nini Mzee wa watu?
Acheni hizo bhana duuh! !
 
Back
Top Bottom