brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,386
Viongozi walizokuwa wamebaki katika klabu ya Yanga wote Leo wametangaza kujiuzulu katika nafasi zao wakiongoza na kaimu makamu mwenyekiti Samwel Lukumay, wengine waliojiuluzu ni Suzan Lyimo na mwenyekiti kamati ya usajili Hussein Nyika
Kujiuzulu kwa viongozi hao kunatoa nafasi kwa klabu hiyo kuitisha Uchaguzi mkuu amboa kimsingi ulitakiwa kufanyika mwaka 2020, hili limetokana na kushindikanika kufanyika Uchaguzi mdogo wa kujaza nafasi zilizokuwa wazi Mara baada ya mwenyekiti Yussuf Manji kujiuzulu na baadhi ya wajumbe
Sent using Jamii Forums mobile app