VIONJO VYA INJILI: Rose Mhando aachia wimbo unaogusa sana. Tumpe sapoti na kumtia moyo kwa kurudi...

Mr Q

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
18,046
Reaction score
38,598
Kwakweli tangu ile ngoma yake inayozungumzia adui zake walivyo mchimbia shimo la kuzika mafanikio yake sikupata tena kupenda nyimbo zake zile zimekaa kama bolingo kama kitimutimu na nyinginezo.

Ila kuna huu wimbo unaitwa yesu karibu kwangu nimeukubali sana ni wimbo unaogusa kwa wale wapenda nyimbo za mguso zisizo za makelele kelele na kurukaruka wanaweza kuutizama kupitia link ifuatayo.

Na ninaamini watakubaliana na mimi kuwa wimbo umetulia.
Glory to Almighty Jehovah.
Screenshot_20191012-205738.png
 
View attachment 1231132

Walio mnenea mabaya aibu kwao ...Mungu NI mwemasiku zote!
 
Ila alitaka kujitoa kwa wale jamaa,,cha moto alikiona,,amesanda na maisha yanaendelea,,
 
Kwamba Freemason ndy walimuharibu kwa kukiuka mashart? Mana ndy lugha ya picha uliyotumia.

Anyway! Kila kitu kinasababu zake iwe ilivyo! Kuna sababu kwanini alipitia alipopitia hata kama hatujui ni nini hasa chanzo!
 
Back
Top Bottom