VIONJO VYA INJILI: Rose Mhando aachia wimbo unaogusa sana. Tumpe sapoti na kumtia moyo kwa kurudi...

VIONJO VYA INJILI: Rose Mhando aachia wimbo unaogusa sana. Tumpe sapoti na kumtia moyo kwa kurudi...

Mungu ni mwema,mwimbo mzuri sana kwa nafsi zilizochoka,big up Rose
 
Kuna wakati unapitia magumu na kuhisi duniani hutakiwi kuwepo lakini MUNGU mwingi wa REHEMA anakufanya upya na kujihisi wa thamani tena, ndivyo Dada yetu Rose alivyopita. Mungu ambariki kwa wimbo mzuri
 
Back
Top Bottom