Ameamua kumpokea Yesu kwa mara ya pili..ni Jambo jema.
Ameamua kumpokea Yesu kwa mara ya pili..ni Jambo jema.
Walio mnenea mabaya aibu kwao ...Mungu NI mwemasiku zote!Kwakweli tangu ile ngoma yake inayozungumzia adui zake walivyo mchimbia shimo la kuzika mafanikio yake sikupata tena kupenda nyimbo zake zile zimekaa kama bolingo kama kitimutimu na nyinginezo.
Ila kuna huu wimbo unaitwa yesu karibu kwangu nimeukubali sana ni wimbo unaogusa kwa wale wapenda nyimbo za mguso zisizo za makelele kelele na kurukaruka wanaweza kuutizama kupitia link ifuatayo.
Na ninaamini watakubaliana na mimi kuwa wimbo umetulia.
Glory to Almighty Jehovah.
View attachment 1231132
hicho kiumbo namba nane ni chako? mtatutoa roho babu zenu walah.huo ndo ugonjwa wangu mkubwaAmeamua kumpokea Yesu kwa mara ya pili..ni Jambo jema.
Hongera kwake dada Rose, wimbo unagusa sanaYes ila kilichoimbwa ndicho tunacho kizungumzia hapa
Jamaa gani??Ila alitaka kujitoa kwa wale jamaa,,cha moto alikiona,,amesanda na maisha yanaendelea,,
Kwamba Freemason ndy walimuharibu kwa kukiuka mashart? Mana ndy lugha ya picha uliyotumia.Ila alitaka kujitoa kwa wale jamaa,,cha moto alikiona,,amesanda na maisha yanaendelea,,