Vip kuhusu NBAA leo hawatoi Matokeo ya CPA?

Malyenge

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
6,658
Reaction score
3,659
Wakuu, kwa kawaida matokeo ya mitihani ya Bodi ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu za Serikali (NBAA) hutoa matokeo kila alhamisi ya mwezi December.... Sasa mpaka naandika dakika hii matokeo bado kabisa, au wameahirisha kuyatoa leo? Kwa mwenye taarifa wakuu atujuze maana mimi kuna somo linaitwa Management Accounting & Control liliniijia kushoto kabisa maana walikopi maswali kama yalivyo kutoka taasisi nyingine duniani zinazotoa masomo yanayofanana na ya bodi.
Naomba taarifa tafadhali.
 
siku hizi wamekuwa vilaza sana, zamani kwenue web yao yalitakiwa kuonekana, sasa mpaka sasa hakuna kitu!
 

Mkuu yameshatoka. Nenda kwenye website yao utayaona.
 
MA naona wamechomoa 16% only! chinja chinja!
 

we kilaza tu, kwa hiyo kama walicopy ndiyo inazuia ufaulu wako?
 
na wewe umechinjwaaa?[/QUOTE

Ilinitandika mpaka nikaona kama CPA inaniponyoka! si unajua shule za uzeeni hizi alafu mtiti mkubwa! wanaweza hawa fresh from school.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…