Malyenge
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 6,658
- 3,659
Wakuu, kwa kawaida matokeo ya mitihani ya Bodi ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu za Serikali (NBAA) hutoa matokeo kila alhamisi ya mwezi December.... Sasa mpaka naandika dakika hii matokeo bado kabisa, au wameahirisha kuyatoa leo? Kwa mwenye taarifa wakuu atujuze maana mimi kuna somo linaitwa Management Accounting & Control liliniijia kushoto kabisa maana walikopi maswali kama yalivyo kutoka taasisi nyingine duniani zinazotoa masomo yanayofanana na ya bodi.
Naomba taarifa tafadhali.
Naomba taarifa tafadhali.