Vip nitampata mpenzi wa kweli

Vip nitampata mpenzi wa kweli

Ni swali gumu';
Jibu la kukufariji ni kuwa 'ndio vumilia utampata'

Jibu la kiuhalisia ni
Hakuna mtu perfect, na hata ukimpata unayempenda naye anakupenda bado kutofautiana kutakuwepo tu, kwani the devil is at work all the time!
 
karibu jukwaani japo ungetumia ile ID nyingine ingekuwa poa sana.....

:focus:........kwani ni nini chanzo cha kutendwa........?
 
nilifikiri kutendwa kwako kunakupa uzoefu wa kupata na kujenga mahusiano bora kumbe somo halijaeleweka..
 
wapenzi wa kweli wameisha..saivi ni mapenzi ya kudanganyana na kuambukizana magonjwa
 
Chukua likizo ya mapenzi kwanza, utakuja na kasi mpya.
 
karibu chama la bachelor ukinipenda twamalizana leo leo tu, siku izi kwa kudanganyana mvulana msichana ishakua poa poa tu, hakunaga mapenzi... wewe ata nyimbo huckili nini???
 
Ishi kimujini mujini tu siku hizi kumpata mkweli ni ndoto!
 
Back
Top Bottom