Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Nd. Triplets,
Hayo uyasemayo ni ya kweli tupu. Nitabanisha hapa hapa nikingojea kumsaidia KOGOGO kujaza hizo forms za dada zetu kuingia VIP!
Mkuu si ulishatuaga weye?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nd. Triplets,
Hayo uyasemayo ni ya kweli tupu. Nitabanisha hapa hapa nikingojea kumsaidia KOGOGO kujaza hizo forms za dada zetu kuingia VIP!
Ngida1, karibu tena, safari hii we bana hapa hapa kwenye matangazo, hakuna presha wala nini..guaranteed
Mkuu si ulishatuaga weye?
Mwenzangu ni kweli ajisemee nafsi yake huyu, siyo wote ma-dependent womenJisemee nafsi yako ndg.
Hapa ni self-skating.
si tulimshauri abaki, ila kwa ajili ya kulinda afya yake asikanyage kule ukumbi wa siasa, amefuata ushauri ...sasa ndio yupo hapa ubao wa matangazo anasaidia kwenye masuala ya hizi fomu spesho za VIP...