Vipaji vingine ni vya kuzaliwa navyo

Vipaji vingine ni vya kuzaliwa navyo

Kapanda vipi tena pale jamani?
255788363637_status_3db06ab39ce34996a4242f528e7a20c7.jpeg
 
Huyo mtoto sio mdokozi Kwa mwenye uelewa Kwa sababu yupo nyakati ambazo huwezi ukasema anaiba au anadokoa Ila naona ana genes alizolithi kutoka Kwa wazazi ambazo zimekaa kitafutaji.

Anaonekana akikua hasubiri kusaidiwa ili apate mkate wake Ila anafata sehemu anajua utapatikana hapa Kwa maana ya kwamba anaona mama na Baba yake humchukulia chakula wapi, sasa ana njaa aende wapi.

Anaonekana mtafutaji Kwa mazingira yoyote yale Ila kitendo cha kusogeza ndoo na kupanda kwenye meza yenye umbali huo ni ishara kua anauthubutu mkubwa bila kujali atashukaje.

Pili hata akifanikiwa haridhiki sio Kwa huo unene halafu ananjaaa [emoji3][emoji1787][emoji23].
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
 
Back
Top Bottom