VIPAJI VYA WANA CHIT CHAT SPECIAL THREAD.

VIPAJI VYA WANA CHIT CHAT SPECIAL THREAD.

sergio 5

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2017
Posts
9,405
Reaction score
10,637
Oi oi oi. Yeah.
Wakuu, mabibi na mabwana,
Naomba niwaletee kwenu huu Uzi ambao kila mwana chiti chat atatakiwa kutaja vipaji vyake vitatu3 alivyonanvyo

Naanza mimi hapa ninavipaji vifuatavyo.
1.Football [emoji460] kipaji changu nacho kipenda sana hiki na nimepata mafanikio makubwa mno kwenye hii tasni

2.Music [emoji441] hasa hip hop hapa sina cha kuongea sana subirini tu ngoma yangu na 2PAC

3.Boxing [emoji123] nimetandika sana ngumi waliokuwa wanafukuzia dada zangu uwezo wangu kwenye hii tasnia ni kama umuchukue Anthony Joshua +Mywether Jr

Naomba kuwasilisha.
Karibuni wandungu mtaje na nyie vipaji vyenu.
 
Hiyo namba 3 na mashaka na mkojo wako.

Inakuwaje unawasifia watoto wa watu huku jf na wakimsifia binti wako au mke wako unaonaje kwani(sihitaji povu)


[HASHTAG]#seduce[/HASHTAG] me
 
Hiyo namba 3 na mashaka na mkojo wako.

Inakuwaje unawasifia watoto wa watu huku jf na wakimsifia binti wako au mke wako unaonaje kwani(sihitaji povu)


[HASHTAG]#seduce[/HASHTAG] me
Kwasababu mm mbabe ndyo maana nafana hivyo mkuu
 
Back
Top Bottom