Oi oi oi. Yeah.
Wakuu, mabibi na mabwana,
Naomba niwaletee kwenu huu Uzi ambao kila mwana chiti chat atatakiwa kutaja vipaji vyake vitatu3 alivyonanvyo
Naanza mimi hapa ninavipaji vifuatavyo.
1.Football [emoji460] kipaji changu nacho kipenda sana hiki na nimepata mafanikio makubwa mno kwenye hii tasni
2.Music [emoji441] hasa hip hop hapa sina cha kuongea sana subirini tu ngoma yangu na 2PAC
3.Boxing [emoji123] nimetandika sana ngumi waliokuwa wanafukuzia dada zangu uwezo wangu kwenye hii tasnia ni kama umuchukue Anthony Joshua +Mywether Jr
Naomba kuwasilisha.
Karibuni wandungu mtaje na nyie vipaji vyenu.