Nikikumbuka vipande vipande vyeupe vilivyokuwa vikitoka eneo la tukio, nakosa hata hamu ya kula, na ki-ukweli nashindwa hata kuendelea mahusiano naye, nimebaki njia panda nifanyeje?
Hiyo ndo ilikuwa siku ya kwanza kukutana naye na mambo yakawa ovyo kiasi nikatapika papo hapo.
Wana JF mnishauri nifanyeje?
Hiyo ndo ilikuwa siku ya kwanza kukutana naye na mambo yakawa ovyo kiasi nikatapika papo hapo.
Wana JF mnishauri nifanyeje?