Vipande vipande vyeupe vya kutosha

Vipande vipande vyeupe vya kutosha

Neng'uli

Senior Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
126
Reaction score
33
Nikikumbuka vipande vipande vyeupe vilivyokuwa vikitoka eneo la tukio, nakosa hata hamu ya kula, na ki-ukweli nashindwa hata kuendelea mahusiano naye, nimebaki njia panda nifanyeje?

Hiyo ndo ilikuwa siku ya kwanza kukutana naye na mambo yakawa ovyo kiasi nikatapika papo hapo.

Wana JF mnishauri nifanyeje?
 
Hebu fafanua vipande vyeupe vya nini sabuni ama? Elezea vizuri bana ili uweze kushauriwa ipasavyo
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Nakushauri uendelee nae.
 
Hebu fafanua vipande vyeupe vya nini sabuni ama? Elezea vizuri bana ili uweze kushauriwa ipasavyo
<br />
<br />
lbd ni vipande vya toilet paper kaka!
 
alikuta masalia ya mwenzie aliyepitia kwenye njia yake kwa wizi.lol
 
Hebu fafanua vipande vyeupe vya nini sabuni ama? Elezea vizuri bana ili uweze kushauriwa ipasavyo

Hata mimi hili la vipande vipande limeniacha hoi, kuna haja ya muanzisha thread afafanue zaidi ili aeleweke anaongea kuhusu nini.

Jamani anaongea kuhusu UTOKO (Ashakum si Matusi) kwa mwanamke. Hii nilishawahi kukutana nayo kwa binti mmoja alitoa hivyo vitu vyeupe wakati wa tenda la ndoa
 
Jee ungeenda chumvini?huyo ana fungus na hajatoa uroda siku nyingi.
 
Jamani anaongea kuhusu UTOKO (Ashakum si Matusi) kwa mwanamke. Hii nilishawahi kukutana nayo kwa binti mmoja alitoa hivyo vitu vyeupe wakati wa tenda la ndoa

Hii inakuwa katika form ya liquid na si vipande vipande kama alivyoandikia muanzishaji wa thread. Na kutoka hii kitu haina maana kwamba huyo muhusika ana matatizo yoyote ya kiafya ni kitu cha kawaida sana kwa Wanawake wengi.
 
Nikikumbuka vipande vipande vyeupe vilivyokuwa vikitoka eneo la tukio, nakosa hata hamu ya kula, na ki-ukweli nashindwa hata kuendelea mahusiano naye, nimebaki njia panda nifanyeje?

Hiyo ndo ilikuwa siku ya kwanza kukutana naye na mambo yakawa ovyo kiasi nikatapika papo hapo.

Wana JF mnishauri nifanyeje?

tukio ambalo wewe mwenyewe wakiri kuwa mshiriki mkuu sasa tutajuaje ya kuwa hivyo vipande vipande vyeupe havikutoka kwako?????????

Na kama vimetoka kwako tunakushauri acha kutenda dhambi.............................na kama vimetoka kwa mwenzio mshauri aache kutenda dhambi na muwe watakatifu kwa sababu Muumba wetu ni Mtakatifu na Mkamilifu kabisa...........
 
mwambie awe anaoga na kujisafisha, inaonekana dizaini zako kuchukua mahouse girl, kwani wao wako bize hawana muda wa usafi, tafuta binti anayejua usafi maana yake nini, hata ukimshtukizia hajajiandaa ukizama chuvini swaaaaafi,
 
what is this got to do with jf-doctor? mods, kama haiongelei ugonjwa,plz do the needful!
vipande? was s/he disintegrating??
 
Ni hivi ukiona hivo vipande vipande ujue ana yeast infection google hii utaelewa zaidi. Na inatibika kuna dawa za kumeza na dawa za kuingiza huko chini na tube maalum. Sasa basi kuponesha kabisa huo ugonjwa ni bora anunue dozi zote mbili hata pharamacy zinapatikana kwa bei tofauti tofauti. Ya kumeza itasafisha damu kabisa na ya kuingiza itaponyesha kule chini. Na wewe kama ulifanya bila condom next time ukumbuke kutumia. Google yeeast infection ni very common among women na inasababishwa na uchafu saa zingine au kukutana kimwili na mwanaume mwenye kaugonjwa hako ingawa kwa wanaume sio common na haina any symptoms to them.
 
mwambie awe anaoga na kujisafisha, inaonekana dizaini zako kuchukua mahouse girl, kwani wao wako bize hawana muda wa usafi, tafuta binti anayejua usafi maana yake nini, hata ukimshtukizia hajajiandaa ukizama chuvini swaaaaafi,

wewe umeova look, mimi nimekutana na hizo liquid several times ila kwa huyu nilikuta vipande kama slace za chipsi zimepakwa mayonizers, na rangi chafu, na usinifananishe na ma-goal keeper, binti alikuwa first class
 
Back
Top Bottom