Nikikumbuka vipande vipande vyeupe vilivyokuwa vikitoka eneo la tukio, nakosa hata hamu ya kula, na ki-ukweli nashindwa hata kuendelea mahusiano naye, nimebaki njia panda nifanyeje?
Hiyo ndo ilikuwa siku ya kwanza kukutana naye na mambo yakawa ovyo kiasi nikatapika papo hapo.
Wana JF mnishauri nifanyeje?
<br />Hebu fafanua vipande vyeupe vya nini sabuni ama? Elezea vizuri bana ili uweze kushauriwa ipasavyo
Hebu fafanua vipande vyeupe vya nini sabuni ama? Elezea vizuri bana ili uweze kushauriwa ipasavyo
Jamani anaongea kuhusu UTOKO (Ashakum si Matusi) kwa mwanamke. Hii nilishawahi kukutana nayo kwa binti mmoja alitoa hivyo vitu vyeupe wakati wa tenda la ndoa
Nikikumbuka vipande vipande vyeupe vilivyokuwa vikitoka eneo la tukio, nakosa hata hamu ya kula, na ki-ukweli nashindwa hata kuendelea mahusiano naye, nimebaki njia panda nifanyeje?
Hiyo ndo ilikuwa siku ya kwanza kukutana naye na mambo yakawa ovyo kiasi nikatapika papo hapo.
Wana JF mnishauri nifanyeje?
mwambie awe anaoga na kujisafisha, inaonekana dizaini zako kuchukua mahouse girl, kwani wao wako bize hawana muda wa usafi, tafuta binti anayejua usafi maana yake nini, hata ukimshtukizia hajajiandaa ukizama chuvini swaaaaafi,
<br />Ni hivi ukiona hivo vipande vipande ujue ana yeast infection google hii utaelewa zaidi. Na inatibika kuna dawa za kumeza na dawa za kuingiza huko chini na tube maalum. Sasa basi kuponesha kabisa huo ugonjwa ni bora anunue dozi zote mbili hata pharamacy zinapatikana kwa bei tofauti tofauti. Ya kumeza itasafisha damu kabisa na ya kuingiza itaponyesha kule chini. Na wewe kama ulifanya bila condom next time ukumbuke kutumia. Google yeeast infection ni very common among women na inasababishwa na uchafu saa zingine au kukutana kimwili na mwanaume mwenye kaugonjwa hako ingawa kwa wanaume sio common na haina any symptoms to them.