Vipaumbele vya Rais Magufuli ni vipi baada ya kuapishwa?

Chuki binafsi ni kuwabambikia kesi kesi kuwapiga risasi wapinzani? au chuki binafsi ni uonevu unyanyasaji uovu mateso kwa wapinzani? au chuki binafsi ni kuiba kura uchakachuaji kwa njia haramu za kishetani? au ni chuki ipi unaiongelea?
Kaandamane mkuu acha kufoka na kupiga makelele tu nyuma ya keyboard.

Yote hayo unayolialia Sisi Watanzania kwa pamoja tumekubaliana nayo na ndo Maana maisha yanaendelea Kama kawaida na Furaha tunayo na hautatusikia tumeandamana Wala kulialia Kama mnavyolialia nyie wapuuzi mnaosadikika Ni makamanda wa keyboard.
 
Ndio tatizo la kutosoma ilani ya vyama wakati wa kampeni. Siajabu hata ilani ya chadema huijui
 
1. Kununua Ndege zaidi.
2. Kununua wabunge waliobaki wa upinzani
3. Kupanua uwanja wa ndege wa Chato uwe na uwezo wa kutua Airbus 380
4. Kujenga uwanja wa mpira wa kisasa Chato
5. Kujenga Hospitali kubwa ya Rufaa Chato
6. Kuongeza trafic lights Chato hadi njia za waenda kwa miguu
7. Kuongeza wanyama hifadhi ya Chato-Burigi pamoja na tiger, ngamia, dubu (bears) na popobawa
 
Kwa hiyo mlitaka Magufuli awe mungu asikosolewe wala kuhojiwa? Au kuwa rais kupitia CCM ni kuwa rais wa Wana CCM tu na sio taifa zima?

Hiyo ilani ni ya chama chenu, to me is more than rubbish.

Mangapi ameyafanya Magufuli na hayako kwenye ilani ioiyomweka madarani 2015?
Una akili.
 
Jana tarehe 05/11/2020 kwenye hutoba yake fupi sana Mheshimiwa Rais John Magufuli, alisema jambo moja tu, tunaenda kukabiliana na ufisadi.

Ndugu wananchi ni lini Rais atatoa hutuba ya Taifa ya dira ya miaka mitano?
Kipaumbele cha Magufuli hivi sasa ni kujenga uwanja mkubwa wa mpira Dodoma!
 
Jana tarehe 05/11/2020 kwenye hutoba yake fupi sana Mheshimiwa Rais John Magufuli, alisema jambo moja tu, tunaenda kukabiliana na ufisadi.

Ndugu wananchi ni lini Rais atatoa hutuba ya Taifa ya dira ya miaka mitano?
Atakapokuwa analihutubia Bunge, baada ya wabunge kuwa wameapishwa. Still kuna miradi mingi tu inayoendelea na ambayo haijakamlika. Kwa safari hii, halazimiki sana kuongea mengi ili kuwawezesha wa-Tanzania kujua kuwa atafanya nini kwenye awamu yake hii ya pili. Wengi tayari wanajua baadhi ya mengi atakayoyafanya kuanzia hapa kuelekea 2025
 
Kwani ana hata vipaumbele basi, mkokoteni mbele farasi nyuma
IMG_20200413_010818.jpg
 
Jana tarehe 05/11/2020 kwenye hutoba yake fupi sana Mheshimiwa Rais John Magufuli, alisema jambo moja tu, tunaenda kukabiliana na ufisadi.

Ndugu wananchi ni lini Rais atatoa hutuba ya Taifa ya dira ya miaka mitano?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Labda tumsikilizie akihutubia bunge
 
Jana tarehe 05/11/2020 kwenye hutoba yake fupi sana Mheshimiwa Rais John Magufuli, alisema jambo moja tu, tunaenda kukabiliana na ufisadi.

Ndugu wananchi ni lini Rais atatoa hutuba ya Taifa ya dira ya miaka mitano?
Kuteka, kuua, kunyanyasa , kuiba na kujigamba
 
Atakapokuwa analihutubia Bunge, baada ya wabunge kuwa wameapishwa. Still kuna miradi mingi tu inayoendelea na ambayo haijakamlika. Kwa safari hii, halazimiki sana kuongea mengi ili kuwawezesha wa-Tanzania kujua kuwa atafanya nini kwenye awamu yake hii ya pili. Wengi tayari wanajua baadhi ya mengi atakayoyafanya kuanzia hapa kuelekea 2025
Huku ni kujifariji.

Hizi White elephant zitamgharimu na ni mbinu ya kutafuta sababu za kujiongezea muda wa kukaa madarakani awe mfalme wa milele.
 
Back
Top Bottom