Blessed Keinerugaba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 4,754
- 4,746
Okay! will do that!ungesindikiza thread hii na kapicha ka papuchi hiyo ili tuone ukubwa wa tatizo tutoe msaada.
[emoji1] [emoji1] [emoji1]ungesindikiza thread hii na kapicha ka papuchi hiyo ili tuone ukubwa wa tatizo tutoe msaada.
Mkuu rubii mchango wako ni wa muhimu sana!
Uchocheziungesindikiza thread hii na kapicha ka papuchi hiyo ili tuone ukubwa wa tatizo tutoe msaada.
Daah lengo ni kuboresha eneo pendwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wakuu nawasilimieni nyote,
Moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu,
Nimejaribu kabla ya ku-post uzi huu kuona kama kuna uzi ulishawisilishwa humu wa namna/njia/dawa/mafuta maalum yasiyo na madhara ya kutumia kumpaka shemeji/wifi yenu ili kuzuia vipele na weusi aneo letu (lake) la ikulu baada ya kufanya usafi wa eneo hilo kwa kupunguza na kuondoa nywele za eneo la papuchi, lengo ni kuboresha mazingira na afya ya eneo hilo jema.
Natangaliza shukrani.
Hakika!Daah lengo ni kuboresha eneo pendwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipele vinasababishwa na shaver anayotumia..... mwambie abadilishe shaver anayotumia. Ngozi ikiwa irritated inatoa vipeleWakuu nawasilimieni nyote,
Moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu,
Nimejaribu kabla ya ku-post uzi huu kuona kama kuna uzi ulishawisilishwa humu wa namna/njia/dawa/mafuta maalum yasiyo na madhara ya kutumia kumpaka shemeji/wifi yenu ili kuzuia vipele na weusi aneo letu (lake) la ikulu baada ya kufanya usafi wa eneo hilo kwa kupunguza na kuondoa nywele za eneo la papuchi, lengo ni kuboresha mazingira na afya ya eneo hilo jema.
Natangaliza shukrani.
Nakushukuru!Vipele vinasababishwa na shaver anayotumia..... mwambie abadilishe shaver anayotumia. Ngozi ikiwa irritated inatoa vipele
Weusi unasababishwa na vingi, msuguano, kutokupaka mafuta na mengineyo.
Anaweza kutumia natural remedies....nenda youtube u search "how to whiten underams" au huko unapotaka .... utapata natural remedies nyingi za kufanya hivyo.
I dont advise creams and such hasa kwa hapa bongo 95% ya products ni fake. Asije akapata matatizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani kwa comment!Tabu hivo vipele ila weusi achana nao usiondoe.
Uwe tuu unapaka mafuta ya nazi kwenye huo weusi ngozi iwe laini muda wote.
Nakushukuru, ubarikiwe!
Hayo majivu yanapakwa muda gani? After or before shaving!?
Aachane na viwembe/shaver afanye waxingWakuu naona kimya bado, basi msiache kunijazi kwa elimu hiyo!